Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?


Safari raha usiwe muoga bhana, njia nzuri ukitoka mikoan yaan utoke uipite Moro au uipite Tanga pia hata ukiipita Pwani kama unaenda Mtwara huko unatembea ila area hii ya Dar,Pwani,Tanga na Moro traffic na 50 nyingi sana.
Sijawahi imaliza hii huwa naishia 180 ila iko siku nitakalisha kisahani
 
Umalize nini tena jamani 180 haitoshi? Angalia airbags hizo hazifanyi kazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usije ukawaacha rijikzwaan na majonzi mtaalamu
 

Hii michezo ninawafanyia sana hawa vijana wa crown na subaru nikiwa na kababywalker Benz a160.
 
Wazee wa road trip mtwara na lindi kunani huko?
Natafuta trip mwishoni mwa mwezi, nataka kujua yafuatayo
1. Uzuri wa barabara na changamoto zake
2. Vivutio na sehemu za kupunguza stress

Barabara haijatulia haswa kuanzia daraja la rufiji mpaka unaingia Somanga. Halafu Nangurukuru mpaka Mbwemkuru.. kama ni mtu wa mwendo kuwa makini na mashimo pamoja na diversion, bila hvyo utapasua tairi na hata rims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…