Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_0063.jpg

Safari raha usiwe muoga bhana, njia nzuri ukitoka mikoan yaan utoke uipite Moro au uipite Tanga pia hata ukiipita Pwani kama unaenda Mtwara huko unatembea ila area hii ya Dar,Pwani,Tanga na Moro traffic na 50 nyingi sana.
Sijawahi imaliza hii huwa naishia 180 ila iko siku nitakalisha kisahani
 
View attachment 1807871

Umalize nini tena jamani 180 haitoshi? Angalia airbags hizo hazifanyi kazi.
 
Mkuu gari ni matunzo na kuzingati service zenye ubora..
Hii Nissan yangu ina Miaka 7...Gear box ni CVT na Mileage leo inasoma KM 160,200....nakilasiku inatembea km zisizpungua 8 mpaka 10 ze wa rough road.. Tena miliman...

Wazee wa Toyota ni kama wabunge wa ccm...huwezi kuwatenganisha na katiba ya mwaka 1977.. [emoji119][emoji119][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 1807871
Safari raha usiwe muoga bhana, njia nzuri ukitoka mikoan yaan utoke uipite Moro au uipite Tanga pia hata ukiipita Pwani kama unaenda Mtwara huko unatembea ila area hii ya Dar,Pwani,Tanga na Moro traffic na 50 nyingi sana.
Sijawahi imaliza hii huwa naishia 180 ila iko siku nitakalisha kisahani
Usije ukawaacha rijikzwaan na majonzi mtaalamu
 
Nilikuwa na tabia ya kufunga mkia kwenye high speed cars na Toyota Avensis Salon, toleo kwa ajili ya nchi za Ulaya, kisahani ni 260 Kph + 10

Muhimu ni kufunga tairi zenye kuhimili speed hiyo, (Masomo ya tyre speed code yapo mengi humu Jf)

Kawaida natembea 100kph, nikipitwa na gari kwa dharau, nami naunga tela, silipiti ila nahakikisha nipo nyuma yake hata afike 180kph.

Akizidisha 180kph ndipo huanza kumtafutia timing ya kumpita shaaa akiwa juu ya 200kph kisha mbele kidogo napunguza mwendo naacha apite halafu narudi na 100kph yangu.

Ligi zingine hata hazifai, hatari sana, nimekuwa mtu mzima sasa, da!

Hii michezo ninawafanyia sana hawa vijana wa crown na subaru nikiwa na kababywalker Benz a160.
 
Wazee wa road trip mtwara na lindi kunani huko?
Natafuta trip mwishoni mwa mwezi, nataka kujua yafuatayo
1. Uzuri wa barabara na changamoto zake
2. Vivutio na sehemu za kupunguza stress

Barabara haijatulia haswa kuanzia daraja la rufiji mpaka unaingia Somanga. Halafu Nangurukuru mpaka Mbwemkuru.. kama ni mtu wa mwendo kuwa makini na mashimo pamoja na diversion, bila hvyo utapasua tairi na hata rims
 
Back
Top Bottom