Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh kweli sio poa..
Ila usingizi nao ukiamua kiboko kuna muda fulani wakati naanza kazi hela ikaninogea nilikaa kazini siku 9 bila ya kwenda nyumbani(nilikua nalala masaa si zaidi ya manne na muda mwingine unalala kwa kuamshwa amshwa)aisee ilifika muda nikawa nahisi kufa hivi yaani moyo kama unataka kutoka,,kichwa kama nimebeba jiwe ,nipo kama kichaa hata ninachokiongea hakieleweki,nikaomba niende kupumzika.

Hiyo ndo ilikua mara ya kwanza kuita Uber mpaka home nilivyolala majira ya saa 4 asubuhi nikaja kuamka saa 1 usiku tena kwa kuamshwa na ilikua mbinde njaa ilikua inauma hatari nikaoga,nilipomaliza kula nikarudi kitandani nikaja kuamka kesho yake saa 5 asubuhi baada ya siku hiyo nina uheshimu usingizi wangu kishenzi kwangu kulala ni la zima ndani ya masaa 24 maana unaweza kuwa kichaa hivihivi.
Hiyo njia pia haikunisaidia nahisi ule usingizi ulikuwa unanitafutia ajali
 
Halafu inatakiwa mchana ulale kwelikweli ndo uendeshe vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀😀 anatakiwa awe kuku wa kienyeji kama kuku wa kienyeji sio hao wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…