Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh kweli sio poa..
Ila usingizi nao ukiamua kiboko kuna muda fulani wakati naanza kazi hela ikaninogea nilikaa kazini siku 9 bila ya kwenda nyumbani(nilikua nalala masaa si zaidi ya manne na muda mwingine unalala kwa kuamshwa amshwa)aisee ilifika muda nikawa nahisi kufa hivi yaani moyo kama unataka kutoka,,kichwa kama nimebeba jiwe ,nipo kama kichaa hata ninachokiongea hakieleweki,nikaomba niende kupumzika.

Hiyo ndo ilikua mara ya kwanza kuita Uber mpaka home nilivyolala majira ya saa 4 asubuhi nikaja kuamka saa 1 usiku tena kwa kuamshwa na ilikua mbinde njaa ilikua inauma hatari nikaoga,nilipomaliza kula nikarudi kitandani nikaja kuamka kesho yake saa 5 asubuhi baada ya siku hiyo nina uheshimu usingizi wangu kishenzi kwangu kulala ni la zima ndani ya masaa 24 maana unaweza kuwa kichaa hivihivi.
Hiyo njia pia haikunisaidia nahisi ule usingizi ulikuwa unanitafutia ajali
 
Usiku kama nasafari ndefu, huwa nachukua redbull mbili au tatu, na madumu ya maji lita 1.5 matatu na mix naanza kupiga kabla sijaanza, ili kojo linisumbue sumbue, alafu napuliza moshi wa masigara kama gari moshi na milaa kwa pembeni.. hiyo sipati usingizi hata kiduchu. Na huwa napenda sana silence kwa ajiri ya focus kwenye road. Huwezi kuta nasafiri na mziki kwa usiku [emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu inatakiwa mchana ulale kwelikweli ndo uendeshe vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni hizo qwio qwio na mabroiler
hapana mm nataka zile za kisambaa za kufunika na mablnket baridi huko kwa kina Shem....zigo she mka... shem...aho sio nikaingie kwenye moto wa mkaa
basi ngoja niende Majani Mapana Tanga yalikoanzia maLove
😀😂😍😍😇
😀😀😀😀 anatakiwa awe kuku wa kienyeji kama kuku wa kienyeji sio hao wengine
 
Back
Top Bottom