Tafadhali tuombe radhi wastaafuKuagiza ile gari Japan mpaka uiweke barabarani ni mkwanja mrefu kidogo..
kiasi kwamba angeweza kuagiza gari nyingine mbadala angalau yenye features za kisasa zaidi..
Yule lazima ni mstaafu kashajazwa ujinga huko..
Maana wastaafu wengi huku ninapoishi wanakaa nadani Ya Rav4 Masawe na Suzuki Vitara au Escudo first generation akijitahidi sana Second generation.....
Ile gari kwa dunia ya leo si ya kuagiza, ni kumvua tu mtu hapa hapa nchini
Mkuu kipenda roho. Kuna watu nimewaona wameingiza Cresta GX100 namba hizo hizo DW...Ni kweli mkuu mafundi wapo...ila wtz si unajua wanajazana ujinga, wanaambia hilo tege halitengenezeki....japo likitengenezeka litakuja tu kurudi...
Kwa mtu ambaye si makini, atakuwa anapata hasara ya tairi za nyuma mara kwa mara..
[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16]Si kwamba nazisagia kunguni mkuu....nimemshangaa yule mwamba dunia ya sasa watu wanakaa ndani ya Vanguard, Rav4 miss Tz, Angalau escudo Second generation, Xtrail new model au second generation au Subaru XT....
Yule mwamba lazima ni pensheni inawasha ....
Aisee!Kuagiza ile gari Japan mpaka uiweke barabarani ni mkwanja mrefu kidogo..
kiasi kwamba angeweza kuagiza gari nyingine mbadala angalau yenye features za kisasa zaidi..
Yule lazima ni mstaafu kashajazwa ujinga huko..
Maana wastaafu wengi huku ninapoishi wanakaa nadani Ya Rav4 Masawe na Suzuki Vitara au Escudo first generation akijitahidi sana Second generation.....
Ile gari kwa dunia ya leo si ya kuagiza, ni kumvua tu mtu hapa hapa nchini
Tuache mkuu na vyuma vyetuNi kweli mkuu ni chuma, lakini kwa mimi hapana mkuu...
Yaani hata Ractis inawwza ikakupa features za kisasa kuliko ile gari...
Ile gari zipo nyingine window unapandisha kwa kupiga hendeli...[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
ILA lodge za Bagamoyo mizinguo tu. Bagamoyo ilitakiwa iwe sehemu ya kukimbilia haraka Dar ikikuchosha lakini ukienda unaishia kuwa bored. There is nothing
Leo nimeona Rav 4 Masawe namba DW....Jamaa kaagiza Japan..[emoji849][emoji849][emoji849]
Anyway, kipndacho roho...[emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu,Tafadhali tuombe radhi wastaafu
Mkuu cresta au Mark II na Chaser zenye BMS 2000 au 1G hizi nazikubali na hata ndani ukikaa unahisi umekaa ndani ya gari...Zina comfortability flani ukilinganisha na Rav 4 Massawe..Mkuu kipenda roho. Kuna watu nimewaona wameingiza Cresta GX100 namba hizo hizo DW...
Nimekaa kimya mkuu[emoji119][emoji119]Tuache mkuu na vyuma vyetu
Boss hii post umeipandisha tarehe 15 December, Siku yangu poa.Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo.
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Aseeeh hatareeeh sana lol, [emoji23][emoji23][emoji23]Kuagiza ile gari Japan mpaka uiweke barabarani ni mkwanja mrefu kidogo..
kiasi kwamba angeweza kuagiza gari nyingine mbadala angalau yenye features za kisasa zaidi..
Yule lazima ni mstaafu kashajazwa ujinga huko..
Maana wastaafu wengi huku ninapoishi wanakaa nadani Ya Rav4 Masawe na Suzuki Vitara au Escudo first generation akijitahidi sana Second generation.....
Ile gari kwa dunia ya leo si ya kuagiza, ni kumvua tu mtu hapa hapa nchini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa sina mbavu khaaaah.Tatizo wastaafu wanadanganyana, ooh roho ya paka...
Ngoja ianze tege na kula tairi upande, pensheni ataiona chungu....
Ile gari ukikaa ndani hizo siti ni kama mabenchi tu..
Huu mkeka usipojaza kisahani.. unakuwa ujatenda haki
Safi kabisa 🙂🙂View attachment 1820943View attachment 1820947View attachment 1820944
MAMBO YA NJIANI HAYA NI MUHIMU. USISAFIRI KIZEMBE
Hizi mambo huwa naishia kuona kwenye TVWazee wa road trip tarehe 23 mpaka 27 mwezi Huu hakuna anaeenda Kenya (+254) Kuna WRC Safari Rally.
Event hii nimeikosa kuona Vw Golf, Ford Scoda Fabia,Hyundai na Citroen zikimwaga moto mkali chini ya mabeberu waandamizi