Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna maumivu flani ya moyo sio ya kawaida
 
🙏🙏🙏
 
Hahaha naikumbuka sana hii mkuu. VX zimenifanya nienjoy sana leo.
VX huwa tunavimbiana sana 😀😀😀. Kuna mmoja anikinukisha, nikawa nacheza nyuma yake kumuonesha kwamba hamna kitu, nilicheza nae hivyo kama km 100.. nilipokiwasha mie hakuonjona tena alikaribu chini juu kunitafuta akafa fail kabisa, akanikuta nimepataki gari pale kibagaigwa, ikabidi ashuke tupige story mbili tatu 😀😀😀
 
Wanatuonaga kama vi nzi hivi barabarani mpaka tuwapelekee moto ndio wanashtuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…