Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nishapiga tuta....
niko kama 140kph usiku tuta hili nilipiga breki nilipokaribia nikaiachia gari ikapanda ikashuka abiria waliolala wote waliamka! Dakika tano nzima naendesha huku nasubiria taa gani itajipendekeza kuwaka kwenye dashboard huku nasikilizia shocks na wenzie. Kila kitu kilikuwa poa nikasema asante Mjerumani Moto ukaanza upya.
Kuna maumivu flani ya moyo sio ya kawaida
 
Salamu zao kwediboma huko

IMG_2627.jpg
 
Usiwe unajaza full tank kama unatoka Bara (nje ya source ya mafuta)

Ungejaza ya kukufikisha Mafinga

Unaokoa hela za kulia Kuku Singida.

Mafinga unajaza full kwa kuwa bei ni nafuu kama Dar (sijui kwa nini)

Dodoma tena Full.

(Full tank = nozzle itakapo kata mafuta, Usijaze hadi pomoni)


Safari njema, usisahau mrejesho.
🙏🙏🙏
 
Hahaha naikumbuka sana hii mkuu. VX zimenifanya nienjoy sana leo.
VX huwa tunavimbiana sana 😀😀😀. Kuna mmoja anikinukisha, nikawa nacheza nyuma yake kumuonesha kwamba hamna kitu, nilicheza nae hivyo kama km 100.. nilipokiwasha mie hakuonjona tena alikaribu chini juu kunitafuta akafa fail kabisa, akanikuta nimepataki gari pale kibagaigwa, ikabidi ashuke tupige story mbili tatu 😀😀😀
 
VX huwa tunavimbiana sana [emoji3][emoji3][emoji3]. Kuna mmoja anikinukisha, nikawa nacheza nyuma yake kumuonesha kwamba hamna kitu, nilicheza nae hivyo kama km 100.. nilipokiwasha mie hakuonjona tena alikaribu chini juu kunitafuta akafa fail kabisa, akanikuta nimepataki gari pale kibagaigwa, ikabidi ashuke tupige story mbili tatu [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanatuonaga kama vi nzi hivi barabarani mpaka tuwapelekee moto ndio wanashtuka.
 
Back
Top Bottom