ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kuna maumivu flani ya moyo sio ya kawaidaNishapiga tuta....
niko kama 140kph usiku tuta hili nilipiga breki nilipokaribia nikaiachia gari ikapanda ikashuka abiria waliolala wote waliamka! Dakika tano nzima naendesha huku nasubiria taa gani itajipendekeza kuwaka kwenye dashboard huku nasikilizia shocks na wenzie. Kila kitu kilikuwa poa nikasema asante Mjerumani Moto ukaanza upya.