Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Mie sikuwepo, naomba irudiwe irudiwe ya voda 🙂🙂Spesheli kwa itayemfaa
View attachment 1831988
#4193 45920 4688
Kwa atayeipata asiache kutupia roadtrip pics.
Muwe na road trips njema, usalama kwanza.
Happy Sunday 😊.
Mie sikuwepo, naomba irudiwe irudiwe ya voda 🙂🙂
Tafadhari sanaaa irudiwe irudiwe irudiwe 🥲🥲🥲🥲Aahahahahahaaaaaa looh mmenikamata
Kutoa ni moyo, ntazirusha hapa namba za Voda maalum kwa wana road trip.
Mahaba kama yote barabarani 😊.
Tafadhari sanaaa irudiwe irudiwe irudiwe 🥲🥲🥲🥲
Kuna beach inaitwa Ushongo ipo mbele ya Pangani kama unaenda Kipumbwi.Unalala...?
Nna mpango wa kwenda Pangani beaches...
Nimesharudi Dar...weekend well spent
Kuna beach inaitwa Ushongo ipo mbele ya Pangani kama unaenda Kipumbwi.
Ni nzuri na imejitenga fresh. Nilikuwa huko lastt weekend.
Duh Kipumbwi....😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hayo maneno hayoKuna beach inaitwa Ushongo ipo mbele ya Pangani kama unaenda Kipumbwi.
Ni nzuri na imejitenga fresh. Nilikuwa huko lastt weekend.
Nilikuja Bagamoyo leo mida ya mchanaBagamoyo moja
View attachment 1832192
Kunaboa sana. Nilileta watu waone tu how much panaboa. Nilisoma O level kule, so nafahamu mitaa nikawaonyesha.Kunaboa somehow
Kuna jamaa wa Mark X naona alikuwa anaipima Crown ila alichokiona leo atasimulia. I guess nae alikuwa na 4GR ila leo amejua sometimes gari ni dereva. Nimetembea nae kutoka Bagamoyo hadi Bunju muda aliokuwa ananisogelea ni kwenye 50kph/matutaKunaboa sana. Nilileta watu waone tu how much panaboa. Nilisoma O level kule, so nafahamu mitaa nikawaonyesha.
Less than sn hour later nikasepa nikaingia The Horizon Park, unakatiza kushoto kama 7km baada ya roundabout ukitokea Bagamoyo. Hapo ndio tukachill na kupata meal then tukarudi Dar.
Nikiwa naingia Bagamoyo Kuna washkaji walikuwa na Subaru Forester SG5 ina mwezi toka iingie Bongo... niliona anataka ligi, nikamtanguliza kama gari nne mbele. Less than a minute later hakuonekana kwenye side mirror [emoji23]
Kufika Bagamoyo tukajikuta tumefika sehemu moja, aka appreciate stori alizoskia kuhusu Fuga. Wakaomba irudiwe irudiwe wakabadilisha na dereva, tuongozana mpaka round about pale baada tu ya kuizunguka nikakanyaga nikayeyuka. Nikawasubiri mbele tukaongozana mpaka Horizon.
Ligi ilileta urafiki, tukakaa pamoja Horizon na kusepa pamoja kurudi Dar.
Barabara ya Bagamoyo iko too busy, ujuzi wa dereva una point zaidi kuliko uwezo wa gari. Ila ukishaiacha roundabout ukaanz kuitafuta msata ndio jiko sasa linaonyesha uwezo wake.Kuna jamaa wa Mark X naona alikuwa anaipima Crown ila alichokiona leo atasimulia. I guess nae alikuwa na 4GR ila leo amejua sometimes gari ni dereva. Nimetembea nae kutoka Bagamoyo hadi Bunju muda aliokuwa ananisogelea ni kwenye 50kph/matuta
Kuna kipande kimoja kabla hujafika Msata Kiko vizuri sana. This time nimejitahidi kwenda Moro sijazidi 140kph ila kurudi few occasions watu wamenichokoza nikafika around 175 hivi. Sipendi dharau 😂😂Barabara ya Bagamoyo iko too busy, ujuzi wa dereva una point zaidi kuliko uwezo wa gari. Ila ukishaiacha roundabout ukaanz kuitafuta msata ndio jiko sasa linaonyesha uwezo wake.
Sometime ni ego ndio zinaendesha magari, sio sisi [emoji23][emoji23]Kuna kipande kimoja kabla hujafika Msata Kiko vizuri sana. This time nimejitahidi kwenda Moro sijazidi 140kph ila kurudi few occasions watu wamenichokoza nikafika around 175 hivi. Sipendi dharau [emoji23][emoji23]
..hahahaa...sawa jirani of the next door.. [emoji1][emoji1]Hakuna Matata na Kasie Matata, tutanyemeleana...[emoji12]