Kunaboa sana. Nilileta watu waone tu how much panaboa. Nilisoma O level kule, so nafahamu mitaa nikawaonyesha.
Less than sn hour later nikasepa nikaingia The Horizon Park, unakatiza kushoto kama 7km baada ya roundabout ukitokea Bagamoyo. Hapo ndio tukachill na kupata meal then tukarudi Dar.
Nikiwa naingia Bagamoyo Kuna washkaji walikuwa na Subaru Forester SG5 ina mwezi toka iingie Bongo... niliona anataka ligi, nikamtanguliza kama gari nne mbele. Less than a minute later hakuonekana kwenye side mirror [emoji23]
Kufika Bagamoyo tukajikuta tumefika sehemu moja, aka appreciate stori alizoskia kuhusu Fuga. Wakaomba irudiwe irudiwe wakabadilisha na dereva, tuongozana mpaka round about pale baada tu ya kuizunguka nikakanyaga nikayeyuka. Nikawasubiri mbele tukaongozana mpaka Horizon.
Ligi ilileta urafiki, tukakaa pamoja Horizon na kusepa pamoja kurudi Dar.