Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kunaboa somehow
Kunaboa sana. Nilileta watu waone tu how much panaboa. Nilisoma O level kule, so nafahamu mitaa nikawaonyesha.

Less than sn hour later nikasepa nikaingia The Horizon Park, unakatiza kushoto kama 7km baada ya roundabout ukitokea Bagamoyo. Hapo ndio tukachill na kupata meal then tukarudi Dar.

Nikiwa naingia Bagamoyo Kuna washkaji walikuwa na Subaru Forester SG5 ina mwezi toka iingie Bongo... niliona anataka ligi, nikamtanguliza kama gari nne mbele. Less than a minute later hakuonekana kwenye side mirror [emoji23]

Kufika Bagamoyo tukajikuta tumefika sehemu moja, aka appreciate stori alizoskia kuhusu Fuga. Wakaomba irudiwe irudiwe wakabadilisha na dereva, tuongozana mpaka round about pale baada tu ya kuizunguka nikakanyaga nikayeyuka. Nikawasubiri mbele tukaongozana mpaka Horizon.

Ligi ilileta urafiki, tukakaa pamoja Horizon na kusepa pamoja kurudi Dar.
 
Kuna jamaa wa Mark X naona alikuwa anaipima Crown ila alichokiona leo atasimulia. I guess nae alikuwa na 4GR ila leo amejua sometimes gari ni dereva. Nimetembea nae kutoka Bagamoyo hadi Bunju muda aliokuwa ananisogelea ni kwenye 50kph/matuta
 
Barabara ya Bagamoyo iko too busy, ujuzi wa dereva una point zaidi kuliko uwezo wa gari. Ila ukishaiacha roundabout ukaanz kuitafuta msata ndio jiko sasa linaonyesha uwezo wake.
 
Kuna kipande kimoja kabla hujafika Msata Kiko vizuri sana. This time nimejitahidi kwenda Moro sijazidi 140kph ila kurudi few occasions watu wamenichokoza nikafika around 175 hivi. Sipendi dharau 😂😂
 
Back
Top Bottom