Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

unazungumzia benzi aina gani
 
Napenda gari zenye boxy shape au Squares au ugly appearance kama LC 70s, Benz G wagon, Discovery 3/4.

Ila hizo roundish kama LC 200 sizipendi hata kidogo. Ndo maana mpaka leo sijawahi penda Prado au LC 200.

Napenda gari zeye appearance za ajabu ajabu.
 
Zitakuwa busy na simu kupiga selfie
mm yalishanikuta nimempa lift pisi kali kumpandisha mgombani toka Dar
Timing belt ikakata Makanya, mpaka kuja kugundua ni yenyewe saa nzima pisi niliyempa lift naye kapewa lift na majaamaa mpaka Same, ili wanitumie fundi wa injini kufungua cover waipate camshaft ili niondoke na sample au no. zake
Namkuta pisi keshalewa hatambui lolote eti kaniletee mizigo yangu asepe gari yangu mbovu.
km masaa 8 nikawa barabarani tena saa 2 usiku namkuta Same ni mzigo bora nikawa km wale madereva wa magari ya nyonya choo kweli wavumilivu, usiku nikamfikisha kwao, sitoi lift tena kwa hawa watu, hata pancha hainami?
 
Sasa ainame kufanya nini jaman?[emoji23]
 
Ukiwa na bike kubwa unasafiri vizuri hiyo ni safari ya kawaida.
Kwangu Mimi route ngumu ya kutumia bike ni Dar-Moro-Iringa-Njombe-Songea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…