Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna jamaa watatu walikuwa na mabike yae makubwa tukaamsha nao Dar-Dodoma

Nilitamani nishuke kwenye gari nikawaombe lift
Kwenye bike unatalii vizuri Sana na Unapata kuona mazingira Kwa ukaribu.

Ukiwa kwenye bike ukianza kuchoka akili kuna Muda unaona kama sehemu uliyopita inajirudia au kijiji/Pori ulilopita nyuma unarudia kupita tena.
 
Irente sikutembea zaidi ya viewing Tu, na ilikuwa miaka 10 iliyopita. Huwa nasimama hapo kwa kahawa na view. Huko Mambo ndio unaweza kufanya hiking
Nilifika irente nikashangaa kuona sehemu ingine juu zaidi. Kulikuwa na majengo fulani mapya yanaonekana from irente.
Pale irente uliweza kufika kule chini ya lile jiwe la view point?
 
Hii gari lakini haijagi na 1HD-FTE au 1HZ bali nyingi ni za 1VD-FTV au 3UZ-FE.

Ukitaka la 1HD-FTE labda liwe modded.
Hiyo Engine ndio inauzwa mpaka 40 milion upo sahihi Mkuu na zinakufa mno nilishangaa sana...gari iliyopata ajali inauzwa ghari kwa sababu ya engine iuzwe na zipo nyingi zimefungiwa zimeua engine...
 
Eeh mkuu. Hiyo idara sasa sihusiki Sana. Malizana na majani mapana kwanza
 
Hizo Apache za kina Patel kumbe zipo vizuri. Lita 1 unatumia Kwa kilometa ngapi?

Wahindi hizi Apache nasikia wanauza mpaka million 5 zina maajabu gani?
Hizo za 5M ni brand new 200cc mkuu. Mhindi kazipatia hizi bike: Ziko njema mkuu, zinahimili mikiki. Hazifi hovyo, na zinatengenezeka. Bike yangu ina 52000km mileage. Major repair niliyofanya ni replacement ya valves at 47000km

Efficiency ni 30kmpl highway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…