Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Unatumia bike aina gani?Kwenye hamsini nawapitaga... watanikuta mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia bike aina gani?Kwenye hamsini nawapitaga... watanikuta mbele
Apache RTR 160, na cruise at 100kmphUnatumia bike aina gani?
Hizo Apache za kina Patel kumbe zipo vizuri. Lita 1 unatumia Kwa kilometa ngapi?Apache RTR 160, na cruise at 100kmph
Kwenye bike unatalii vizuri Sana na Unapata kuona mazingira Kwa ukaribu.Kuna jamaa watatu walikuwa na mabike yae makubwa tukaamsha nao Dar-Dodoma
Nilitamani nishuke kwenye gari nikawaombe lift
Nilifika irente nikashangaa kuona sehemu ingine juu zaidi. Kulikuwa na majengo fulani mapya yanaonekana from irente.
Pale irente uliweza kufika kule chini ya lile jiwe la view point?
Mimi naogopa sana hio kitu. Nimegundua ina addiction
Mungu anisamehe nilijua wale kuku wa kienyeji watu
Hiyo Engine ndio inauzwa mpaka 40 milion upo sahihi Mkuu na zinakufa mno nilishangaa sana...gari iliyopata ajali inauzwa ghari kwa sababu ya engine iuzwe na zipo nyingi zimefungiwa zimeua engine...Hii gari lakini haijagi na 1HD-FTE au 1HZ bali nyingi ni za 1VD-FTV au 3UZ-FE.
Ukitaka la 1HD-FTE labda liwe modded.
Kumbe ni hizo qwio qwio na mabroiler
hapana mm nataka zile za kisambaa za kufunika na mablnket baridi huko kwa kina Shem....zigo she mka... shem...aho sio nikaingie kwenye moto wa mkaa
basi ngoja niende Majani Mapana Tanga yalikoanzia maLove
😀[emoji23][emoji7][emoji7][emoji56]
Kunafikika ukiwa na gari ndogo?
Na kipindi gani kizuri kupanda huko milimani
Amina, Mungu akupe sawa na hitaji lako
wakati wa kupiga jeki kunyanyua mguu mmojaSasa ainame kufanya nini jaman?[emoji23]
Hizo za 5M ni brand new 200cc mkuu. Mhindi kazipatia hizi bike: Ziko njema mkuu, zinahimili mikiki. Hazifi hovyo, na zinatengenezeka. Bike yangu ina 52000km mileage. Major repair niliyofanya ni replacement ya valves at 47000kmHizo Apache za kina Patel kumbe zipo vizuri. Lita 1 unatumia Kwa kilometa ngapi?
Wahindi hizi Apache nasikia wanauza mpaka million 5 zina maajabu gani?
Ha ha ha weka R&B na slow music sauti ya chiniFor some reason Mimi nimegundua combination mbaya kwangu ni mziki mkubwa. Yaani mziki ukiwa full blast mguu unakanyaga zaidi. Basi naepuka kuweka mziki sauti kubwa hasa nikiwa mwenyewe na naenda mbali
Ha ha ha weka R&B na slow music sauti ya chini
Kwa wapenzi wa night rides hii ndo inawafaa, koz zinageuza usiku kuwa mchana,ila bado itahitaji barabara nzuri si km hizi za kwetu,zenye mashimo ya kwenye kona kali utafikir yamechimbwa kwa makusudi
hahahhaaaa hatari sanawakati wa kupiga jeki kunyanyua mguu mmoja
mm ni kuchomoa na kuingiza tai... lenye pancha liingie lililojaa upepo
sikujua kiswahili ni kigumu hivi
Aisee. Unatumia bike gani?