Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Acha kabisa tu mkuu... unatamani barabara isiishe
 
Nimepita hatimaye mkuu, nimeiona... hizi ndio njia za kusafiri mchana. Sio Moro - Dar au Arusha - Dar
 
Mimi nilishaacha kununua miwani kwa opticians miaka mingi tu nyuma. Nanunuaga plastic specs zenye lens tayari pale posta mpya, hata 15k haifiki. Hata nikivunja vunja haina hasara.
15k Haifiki ?[emoji848]acha utani!
Hizo zitanifaa Sana..miwani yangu hata mwezi haijamaliza[emoji856],utadhani nimetupa 50k yangu kwenye tundu la choo.

Nitakutafuta unielekeze vizuri,,Mimi mgeni huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…