Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kipande cha kutoka SHY to Mwanza, mkeka upo vizuri?

Nilipita usiku mwaka jana hiyo njia. Kuna mashimo ya hatari katikati mwa road. Nilijuta kupita hiyo njia. Nilifika Mwanza nasonya sana na kuwatukana Tanroad matusi yote!!
Wamejaribu kuziba baadhi ya mashimo ila kuna mengine mapya makubwa na ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…