Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahahah hizo Taa ni msala kitu kikiwa Fatal ujue inakulaza njiani hio 😂🤣🤣
 
Speed kubwa ni hatari kwenye gari imara hata za kinyonge.
Hatari inapotokea ni rahisi sana kupoteza dira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah weeee, hamna . Mie nikikusimulia maboko niliyotoa unaweza hisi nilitakiwa nisiwepo.. nacho shukuru huwa sina emotion za papo kwa papo,ila ningekuwaga hivyo huenda ningepasua gari nyingi..
 
Aaah weeee, hamna . Mie nikikusimulia maboko niliyotoa unaweza hisi nilitakiwa nisiwepo.. nacho shukuru huwa sina emotion za papo kwa papo,ila ningekuwaga hivyo huenda ningepasua gari nyingi..
Binadamu tunatofautiana.
Nadhani mimi sifai kuwa dereva maana mshtuko hunipata haraka sana na ninapoteza direction.

Wewe mzee wa kutembelea Rim nakuelewa sana[emoji1787]huna haja ya kuhadithia[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta unasema unachelewa na unatumia masaa ma5 hadi ma4.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah kuna 442Km.. uki maintain mwendo wa 100kmh masaa manne na dk kadhaa, ukifanikiwa maintain 150-200kmh.. ushapata majibu 🙂🙂. Nikiwa na SUV nakuwa nachezsa humo humo.. tukianza trip nitakuonesha mfano inavyokuwaga 😎
 
Aaah kuna 442Km.. uki maintain mwendo wa 100kmh masaa manne na dk kadhaa, ukifanikiwa maintain 150-200kmh.. ushapata majibu [emoji846][emoji846]. Nikiwa na SUV nakuwa nachezsa humo humo.. tukianza trip nitakuonesha mfano inavyokuwaga [emoji41]
Tafadhali, naomba usije onyesha mifano tukiwa pamoja[emoji3].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu tunatofautiana.
Nadhani mimi sifai kuwa dereva maana mshtuko hunipata haraka sana na ninapoteza direction.

Wewe mzee wa kutembelea Rim nakuelewa sana[emoji1787]huna haja ya kuhadithia[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshituko eeh! Jifunze kubalance mshituko ni mbaya kuwa na emotion za hapo kwa papo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…