Duuh pole. Ngoja niagize VW au BMW zilizoelea kwa mafuriko naamini watauza Bei ya mbuziShida ni barabara au aina ya tairi zinazotumika kufika top speed?View attachment 1866782
Dar-Kibaha-Chalinze-Moro ni kimeo.View attachment 1867781
Leo Chalinze Moro ni foleni kali sana, lori la mafuta limeungua
Sikushauri...Duuh pole. Ngoja niagize VW au BMW zilizoelea kwa mafuriko naamini watauza Bei ya mbuzi
Hiyo bust sio gari yangu.Duuh pole. Ngoja niagize VW au BMW zilizoelea kwa mafuriko naamini watauza Bei ya mbuzi
Model gani, ya mwaka gani..
Yamekukuta ya Holy ManShida ni barabara au aina ya tairi zinazotumika kufika top speed?View attachment 1866782
Eeh hio tyre kwa ganda tu inaonekana ilisha expire na kukakamaaShida ni tairi kuwa zimefikia ukomo wake wa Kasi au muda
Siku moja nimekuta tairi imelala pancha. Kuangalia mkunjo wa pancha tairi limejaa cracks balaa. Nikavua yote manne yalikuja na gari.Eeh hio tyre kwa ganda tu inaonekana ilisha expire na kukakamaa
Hapo ni aheri kujiwahi maana dah! Tyre za kuja na gari ni very dangerous hasa kwa gari zetu hizi za 10 years ago!Siku moja nimekuta tairi imelala pancha. Kuangalia mkunjo wa pancha tairi limejaa cracks balaa. Nikavua yote manne yalikuja na gari.
Hizi cracks tairi ikiwa na upepo huwezi kuziona kabisa na tairi kashata zimejaa kabisa.
MobilioHonda gani hio?
MobilioHonda gani hio?
Ziko chache sana hapa Tz.Never heard of it...