Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Ndio inavyotakiwa hivyoo , unatakiwa kukimbiza gari hadi rim itokeYamekukuta ya Holy Man
HahahahahaNdio inavyotakiwa hivyoo , unatakiwa kukimbiza gari hadi rim itoke
Kumbe ulikuja dar? Mbna hukunicheki tumeet cc jaman? Tabia mbaya hii lol.
Tatizo lile vumbi + upepo... Ila napapenda hivyo hivyo tu.
Mitaa yangu hiyo ya kupiga kachakula usiku..
Wajenge njia 4 kwa kuanziaDar-Kibaha-Chalinze-Moro ni kimeo.
Ule upepo sijui ulitoka nchi gani[emoji119]Tatizo lile vumbi + upepo... Ila napapenda hivyo hivyo tu.
[emoji3][emoji3][emoji38]Tabia za watu wa dar hizi,mtu akishasepa ndio unasikia mbona umeondoka mapema mkuu au mbona hatukuchekiana?
Kaifufua upande wa injini au body? Huyu ndo wa arusha? Anafanya hivyo kwenye lc pia?
weekends are for short road tripsView attachment 1865177
Kuna muuza matairi mmoja aliniambia tairi zilizoexpire unaweza shangaa Ile sehemu inayokanyaga barabara inabanduka nzimanzima kunabaki pembeni na ndio kilichotokea kwenye hizo gariEeh hio tyre kwa ganda tu inaonekana ilisha expire na kukakamaa
Yah tairi za hivyo gana linakuwa gumu linamomonyoka kadri gari inavyokimbia utashangaa kama halijachanika basi litaonesha wayaKuna muuza matairi mmoja aliniambia tairi zilizoexpire unaweza shangaa Ile sehemu inayokanyaga barabara inabanduka nzimanzima kunabaki pembeni na ndio kilichotokea kwenye hizo gari
Usafiri wa train enzi hizo.. sijui siku hiziHii trip ya hapa vipi? Any experience? Vibe lake linabamba? Nataka kuijaribu
Kwa miaka yangu ya hapa duniani ndio kwanza nimeona train ya abiria kwa macho hivii last week. 😂
Jamaniii nilijisikia kiraha flani hivi ngumu kuelezea. Nimetamani sana kuijaribu.
View attachment 1869372
Kutokea kibaha hadi Dar es Salaam, si njia nyingi nyingi zileWajenge njia 4 kwa kuanzia
Ulikuwa na magendo mkuu.. sehemu za wazi usibebe vitu haramu, lazima ushikwe tuHapa sitaki hata kupasikia nilikutana na Baba mkwe, sitorudia kosa
Kwa Morogoro kama wakiamua wanaweza. Wakigawa kwa kibaha mlandizi, mlanidizi chalinze, chalinze hadi ubena.. then ubena hadi moro. watapunguza sana gharama za usafirishajiZinatakiwa zifike Moro