Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Na Kuna jambo unaweza kulifanya mara nyingi mpaka likakupelekea kuwa ni hobby......binafsi sikuwa na hobby ya kusafiri safiri ila kazi ilinifanya kupenda kusafiri na mpaka leo road trip imegeuka kuwa hobby miongoni mwa nyingine nilizonazo
 
Kama huna pesa huwezi ukasafiri,hilo lipo wazi .

Huwezi linganisha elfu moja ya bando na pesa ya nauli tu ya bus ama ya kunywa kahawa hapo cate hotel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio hua tunafeli lakini hoby na kuchagua vipaumbele ndio maana nchi za watu wanasomo kabisa linaitwa Life Choice, sasa ukijiendea kama bata haijalishi unazo au hauna usiku unakukuta bado uko njiani na safari bado
Haya maisha ni kula bata tu, ukiumiza kichwa ndio hufiki.. mambo hukaa auto yeyenyewe na kukuta kuna force inakuambia sasa ni mda wako wa kufanya kitu X ?
 
Kuna watu hata mlo tu wanaunga,unadhani wanaweza kupata nguvu za kuunga kusafiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Safari ni safari.. zamani tulikuwa tunasafiri kwa miguu na wapenzi wetu.. tunaenda kula bata porini.. ilo bata lenyewe la porini sasa.. acha matunda mwitu, mnarudi hoi.. ila maisha yalikuwa mazuri sanaaa.. haikuhitaji pesa ni moyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…