Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Haya maisha ukisema usubiri hela ndio ufanye mambo flani.. unaweza ukafwa bado hauja yafanya.. mie huwa nasafiri mfukoni sina kitu, au huwa natafuta hata elfu kumi tu ya kahawa, na enjoy kabisa..Umeona eh mtu anavuka zake from Tunduma to Nakonde kwa miguu na kiborder pass chake tu huyooo anaingia kupuyanga kwenye nchi ya watu akimaliza anarudi
Kweli mkuu,unaweza kuta gear box ishajinyea maana bei inayouzwa kama aiendani na thamani ya gari,hizi gari za mgermany ukizikuta bei kitonga lazima uende kimachale machale mzee babachombo imetulia kwa macho, ila ndani tuwaachie wataalamu..
Kununua nguo ni hiari.Aisee sasa tangu lini tajiri akakaa mwaka mzima au zaidi bila kununua nguo maana hata hao wanaoishi below the so called poverty line ambao ndiyo huitwa masikini bado hawatembei uchi
Ndiyo wapo wanaotembea for fun kwa sababu wanapenda kusafiri na kwao kusafiri ni starehe na siyo adhabu hivyo wala hawaoni shidaKama wewe tu ulivyoamua kufosi dunia ya sasa kuwa na hao watu wanaotembea kwa mguu kutoka iringa hadi Mbeya eti" for fun"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kununua nguo ingekuwa ni hiari basi isingewekwa kati ya yale mahitaji matatu muhimu ya binadamu ambayo ni chakula mavazi na malazi kwahiyo mtu anayekaa muda wote huo bila kununua nguo huyo ni masikini na wala siyo kwamba ni hiari yakeKununua nguo ni hiari.
Anaweza kaa hata miaka 5 hujanunua,ili mradi hatembei uchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia nitajie hao watu ambao wanatembea kwa mguu mkoa hadi mkoa for fun.Ndiyo wapo wanaotembea for fun kwa sababu wanapenda kusafiri na kwao kusafiri ni starehe na siyo adhabu hivyo wala hawaoni shida
Kwahiyo huyo mtu anasaifiri uchi hajavaa nguo?Kununua nguo ingekuwa ni hiari basi isingewekwa kati ya yale mahitaji matatu muhimu ya binadamu ambayo ni chakula mavazi na malazi kwahiyo mtu anayekaa muda wote huo bila kununua nguo huyo ni masikini na wala siyo kwamba ni hiari yake
Hamana usiogope, ndio bei ya hizo gari mkuu wangu, ila fanya kumcheki huyo jamaaaKweli mkuu,unaweza kuta gear box ishajinyea maana bei inayouzwa kama aiendani na thamani ya gari
itabidi huyu nipige nae toute moja, alafu nampeleka mahala ambapo gari haipiti, nimtembeze kama 60km.. aone mazingira mazuriHuyo jakata amepita ila naona hajawahi piga zile route march za km 50 na afande anawakazia msibebe hata maji achilia mbali pesa ya kununua chochote njiani hadi mrudi kikosini
😎😎😎😎 Ehhhh... wengine hawana mapenzi na nguo nikiwa mie mmjoa wapo, kununua nguo hadi itokee kubabatizwaKwahiyo huyo mtu anasaifiri uchi hajavaa nguo?
Si tayari anazo,ila hataki kuongeza nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishapanga hii safari uniambie nikurahisishie kazi kwa kukupa hiyo barabara ya kutembea hizo 60km.itabidi huyu nipige nae toute moja, alafu nampeleka mahala ambapo gari haipiti, nimtembeze kama 60km.. aone mazingira mazuri
Lakini si hautembei uchi.😎😎😎😎 Ehhhh... wengine hawana mapenzi na nguo nikiwa mie mmjoa wapo, kununua nguo hadi itokee kubabatizwa
Usije tu leta malalamiko humu.. kuwa nimekutembezaa bila huruma nikaonekana katiliUkishapanga hii safari uniambie nikurahisishie kazi kwa kukupa hiyo barabara ya kutembea hizo 60km.
I'm sure nitakubeba njiani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri za kambi hizo na wewee..
Na wewe usije tu nizulia kesi humu kwamba St Anne alitaka kuniua kwenye milima na mabonde.Usije tu leta malalamiko humu.. kuwa nimekutembezaa bila huruma nikaonekana katili
😎 😎 😎 😎 😎 😎Na wewe usije tu nizulia kesi humu kwamba St Anne alitaka kuniua kwenye milima na mabonde.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukubaliane kabisa.😎 😎 😎 😎 😎 😎
Umejuaje kuwa sitembei uchi ? safari ya kutoka chumba kimoja hadi kingine mbona napiga chiu tu
😍😍😍😍 navyopenda kubebwa utanibeba kuanzia mwanzo wa safari..Tukubaliane kabisa.
Utatembea huko hadi utaomba poo.
Kwa kukusaidia tu nitakubeba.
Sent using Jamii Forums mobile app