Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Haya maisha ukisema usubiri hela ndio ufanye mambo flani.. unaweza ukafwa bado hauja yafanya.. mie huwa nasafiri mfukoni sina kitu, au huwa natafuta hata elfu kumi tu ya kahawa, na enjoy kabisa..Umeona eh mtu anavuka zake from Tunduma to Nakonde kwa miguu na kiborder pass chake tu huyooo anaingia kupuyanga kwenye nchi ya watu akimaliza anarudi