Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Umeona eh mtu anavuka zake from Tunduma to Nakonde kwa miguu na kiborder pass chake tu huyooo anaingia kupuyanga kwenye nchi ya watu akimaliza anarudi
Haya maisha ukisema usubiri hela ndio ufanye mambo flani.. unaweza ukafwa bado hauja yafanya.. mie huwa nasafiri mfukoni sina kitu, au huwa natafuta hata elfu kumi tu ya kahawa, na enjoy kabisa..
 
Kununua nguo ni hiari.
Anaweza kaa hata miaka 5 hujanunua,ili mradi hatembei uchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kununua nguo ingekuwa ni hiari basi isingewekwa kati ya yale mahitaji matatu muhimu ya binadamu ambayo ni chakula mavazi na malazi kwahiyo mtu anayekaa muda wote huo bila kununua nguo huyo ni masikini na wala siyo kwamba ni hiari yake
 
Kwahiyo huyo mtu anasaifiri uchi hajavaa nguo?
Si tayari anazo,ila hataki kuongeza nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom