Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukiweza kupata laki ya nauli wewe ni tajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafunga safari hadi nje ya nchi kisa sex tu.

Ila nalala njaa bila shida yeyote.

Bosi wako akiwa mwanamke asipokazwa vizuri huko ofisini hamkai. Kuna maamuzi anakosea waziwazi.
Njaa unaijua vizuri kweli brother??


Mbona mapadre na masister wanaendelea na kazi zao tu vizuri!?!

Sex siyo muhimu,chakula ndio kila kitu Jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…