Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Kwanini ubaki kutamani tu, unatafuta mkuu
 
๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ nilikuwa naisubiria hii response tu came out as expected!
 
Weee Sex isn't an essential thing. It's GOOD ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ but sio hitaji muhimu kwa binadamu labda kwa wanandoa. Napo ni 50/50 tu.
It might not be an essential thing when you have free & full access to it or when you have issues with your reproductive system!

Wanandoa ni binaadamu pia kama walivyo ma bachela...,kimsingi sex imebeba mbegu ya uhai na ndio maana Mungu alisihi tuenende tukaujaze ulimwengu. The fact is so straight ila limitations tunajiwekea sisi binadamu wenyewe.

Too sad kuona wadada mnaidharau hii kitu mbele ya kadamnasi ila mnaitekeleza mafichoni๐Ÿ˜Œni huzuni!
 
Haifahamu njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile njaa ya kutokujitakia.


Halafu uzi wetu wa kilo 60 sijui umefutwa[emoji1745]

Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa inauma vibaya sana ukiwa huna hata 100 mbovu akili inafikiria sana unapagawa, ila uwe na laki tu imeninginia mfuko wa shati unaweza ukashindia maji na pakti la karanga hata siku 3 wala husikii chochote ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…!

Ile satisfaction guarantee kwamba naweza nikala chochote nachojiskia anytime from now basi na njaa nayo inapotea kabisa..
 
Umenikumbusha wale walimu wa Kenya waliopigana mapanga kisa toto la field ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… aisee achana na kile kitu chenye utelezi!
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Malaika wenyewe walielewa utamu wa hii kitu hadi wa kaanza kupiga binadamu.. alafu mtu from nowhere unafananisha na machakula
 
Hebu acha kuhalalisha vitu ambavyo sio muhimu kwa binadamu.

Wewe ni wa tofauti sana. Sex over food uchague sex kweli? Utaperform vipi na njaa? We huijui njaa nina uhakika.
Ukizungumzia priorities it begins with food then sex! Ndio maana ukila ukashiba vizuri ukiwa na mjanja wako Geroo lazma mtabanjuana tu ๐Ÿ˜‚ maana after sometime wese lina accumulate.
 
Huwezi kuwa tajiri it depends pia unasafiri in expense ya nani? You must have a budget for that right?
Hahaaa mkuu huu mjadala ulileta mabishano yasiyo na kichwa wala miguu kwa siku mbili mfululizo

Tusije tukajikuta tunarudi tena huko maana tulishayamaliza

Sema nini nakukubali sana mwanangu haunaga makuu
 
Hahaaa mkuu huu mjadala ulileta mabishano yasiyo na kichwa wala miguu kwa siku mbili mfululizo

Tusije tukajikuta tunarudi tena huko maana tulishayamaliza

Sema nini nakukubali sana mwanangu haunaga makuu
Pamoja sana mrembo wangu wa pekee jf nzima๐Ÿ˜ป...I hope ipo siku isiyo na jina tutakaa mahali tuwekane sawa!
 
Aisee nimeiwaza ile scirocco mzee ni hatari! Nimeona kuna page imepostiwa 37M nafikiri ilikuwa kabla haijatiwa kambani na mjuba!
Jamaa aliigazi mwenyewe, ila wadau wakawa wame i mind kuipandia cha juu.. jana ningekuwa sina michakato ningeteremka nae dodoma.. ningewanyoosha watu ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Jamaa aliigazi mwenyewe, ila wadau wakawa wame i mind kuipandia cha juu.. jana ningekuwa sina michakato ningeteremka nae dodoma.. ningewanyoosha watu ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Kumbe wahuni ndio walifika bei,ile kitu mangโ€™anyu sana yani! Take off inahitaji u fasten seatbelt kabisa maana unaweza ukawa unapaa ukiwa ground level๐Ÿ˜… yani manouver zake ningekuwa naomba tu ->> kisha naipa moto mara shwaa nimekata semi 3 chap!๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Matusi sana kale ka gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ