Hahaaa hapo kwenye urembo nitoe tu mkuu wengine tuna sura za baba zetu jf kuna warembo hatariPamoja sana mrembo wangu wa pekee jf nzima[emoji76]...I hope ipo siku isiyo na jina tutakaa mahali tuwekane sawa!
Heheheh ukisema wewe si mrembo ina maana macho yangu hayajatambua ule urembo wako na umbile lenye tashiwishi😻 nahisi utakuwa unamkufuru mungu dear! I have seen your beauty siwezi kukupamba bure tu!Hahaaa hapo kwenye urembo nitoe tu mkuu wengine tuna sura za baba zetu jf kuna warembo hatari
I hope hii kuwekana sawa haitahusisha yale mambo ya kimasihara hahaaa maana daah kaka zetu ninyi hamchelewi
Pamoja sana mkuu
Nimeangalia DSG is the most advanced auto transmission!Matusi sana kale ka gari
Pia Scirocco Ina uwezo mkubwa wa manourve kwenye drift na take off kubwa.Nimeangalia DSG is the most advanced auto transmission!
Ina dual clutch moja kwa ajili ya even gears na moja kwa ajili ya odd gears! Inachagua gear directly kulingana na speed ya engine wazee wa kubutua RPM ndipo mnapopaa hapo.
Hizi gearbox zetu za Automatic zina clutch moja hivyo unaanza gear moja mpaka uzimalize in sequence hauruki gear!😅
Toyota kwenye Insulation anazitendeaga haki sana gari zake za high end market! Gari ikiwa mpya yani ni kimya husikii kitu yani very silent ndani kama uko kwenye ofisi 😅 ila lile V8 ipo siku moja tu!Amin mkuu. Ukifunga milango na vioo inakuwa kama upo dunia nyingine. Kelele za huko nje hazikuhusu, ni wewe na barabara tu.
Plus huwazi sana mashimo na matuta, hutumii nguvu. Huchoki.
Eeh hio nimeifeel kabisa live wala siwezi kupinga!Pia Scirocco Ina uwezo mkubwa wa manourve kwenye drift na take off kubwa.
Nataka za kuambiwa na walio na uzoefu.Mzungu kawawekea google ya kazi gani aisee... hapo goohle ukiweka tu, Tanga to Momba unaona zinakuja km zake 😕😕
Weeeee
ayaaaaaaa.... 🙁
Shukrani mkuu.Dar - Tabora ni km 825
Dar - Tanga ni km 340
Dom Tanga ni km 590
Dom Tabora ni km 350
Haya kazi kwako
Kwenye kioo unakuta maandishiToyota kwenye Insulation anazitendeaga haki sana gari zake za high end market! Gari ikiwa mpya yani ni kimya husikii kitu yani very silent ndani kama uko kwenye ofisi 😅 ila lile V8 ipo siku moja tu!
Sipati picha ndio unaipata kitu piruuu ina chaki chaki kwenye vioo tu! Power ipo penyewe
Waooooooo 😍😍😍
Unataka uvuruge tena uzi???Waooooooo [emoji7][emoji7][emoji7]
Haaaaa 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Unataka uvuruge tena uzi???
Mimi sitaki kuizoa tena hii kesi.
Bora uende usivuruge uzi wa watu.Haaaaa [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji40]😎 😎 😎 😎
Vipi trip za sebuleni zipo ? tunakwenda tanga na sie kumfata RRONDO[emoji40]