Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Wanaostahili kupigwa faini hii nadhani ujumbe umewafikia...[emoji4][emoji38][emoji38]Naunga mkono hoja. Hawa wachafuzi wa uzi wapigwe 'ndamlo' ndipo msamaha upite... wese Lita 5 impate kila mwenye mkoko kwenye uzi huu.
Kwa wenzagu na mie wenye baiskeli, tupewe sneaker CONVERSE pair moja moja 'tukaoshee' kitaa na bike zetu... [emoji41]View attachment 1873830
-Kaveli-
Pole sana mkuu,mkuu hofu yangu ni kwene reliability na je inahitaji ile extra care au unaeza kuburuza kama toyota?
Maana nataka kuchange from toyota baada ya wezi kunitenda taa, side mirror, power window, dashboard, control box etc
View attachment 1873884
Pole mkuu[emoji38][emoji38]dah
umenikumbusha kimkweche changu cha kwanza. kilikuwa na clutch ya cable.. ngumu balaa.
Hi ndio changamoto ya Tanga, mji umepo sanaa kama huna compay ya kueleweka unafungasha virago chap chap 😀 😀Karibuni...mji umetulia hamna purukushani!
Oyaa tumeni hata ka kideo basi tuone inavyofanya manuva huko road.Kumbe wahuni ndio walifika bei,ile kitu mang’anyu sana yani! Take off inahitaji u fasten seatbelt kabisa maana unaweza ukawa unapaa ukiwa ground level[emoji28] yani manouver zake ningekuwa naomba tu ->> kisha naipa moto mara shwaa nimekata semi 3 chap![emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23]Usinitafutie kesi za uvamizi wa uziVipi trip za sebuleni zipo ? tunakwenda tanga na sie kumfata RRONDO
Shida nokia tochiOyaa tumeni hata ka kideo basi tuone inavyofanya manuva huko road.
Na connection inapatikana hapahapa uzini, ukicheza vizuri kama Messi hukosi goli [emoji23]True inabidi uwe na connection [emoji23][emoji23]
DeeboyfrexhKwenye kioo unakuta maandishi
Mv Neptune Ace.
TZA-DSM.
31/07/2021.
Agent Name
Mzee una plug ya Kasie 😂True inabidi uwe na connection 😂😂
Tanga hadi wazawa, ila sie wageni pa kiwaki sanaaa.. kama huna namna ya kukuchangamsha.. utaondoka siku hiyo hiyo.. nishaingia pale kwa ratiba ndefu, mbona jioni yake nikaondoka zanguMzee una plug ya Kasie 😂
Pamepooza sana kwa upande wangu! Mji umezubaa zubaa sanaTanga hadi wazawa, ila sie wageni pa kiwaki sanaaa.. kama huna namna ya kukuchangamsha.. utaondoka siku hiyo hiyo.. nishaingia pale kwa ratiba ndefu, mbona jioni yake nikaondoka zangu
Eeh bana hio 130k hapo ni kama ngapi kwa bei ya kifrika huku 😉? Hapo before Tax aisee sema soon watu wanaishi nalo hili!
Hakuna maajabu 😀😀😀Pamepooza sana kwa upande wangu! Mji umezubaa zubaa sana
Hii pesa ndefu mkuu, hata kufanya ma convertion ni kujichosha tuuu.. acha lipite tuEeh bana hio 130k hapo ni kama ngapi kwa bei ya kifrika huku 😉? Hapo before Tax aisee sema soon watu wanaishi nalo hili!