Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Naunga mkono hoja. Hawa wachafuzi wa uzi wapigwe 'ndamlo' ndipo msamaha upite... wese Lita 5 impate kila mwenye mkoko kwenye uzi huu.

Kwa wenzagu na mie wenye baiskeli, tupewe sneaker CONVERSE pair moja moja 'tukaoshee' kitaa na bike zetu... [emoji41]View attachment 1873830

-Kaveli-
Wanaostahili kupigwa faini hii nadhani ujumbe umewafikia...[emoji4][emoji38][emoji38]
 
mkuu hofu yangu ni kwene reliability na je inahitaji ile extra care au unaeza kuburuza kama toyota?
Maana nataka kuchange from toyota baada ya wezi kunitenda taa, side mirror, power window, dashboard, control box etc

View attachment 1873884
Pole sana mkuu,
Wakora waliruka umuta nyumbani au ni kwenye parking za mtaani..??

Mpaka control box?....hawa ni sawa na wameiba gari zima..
 
Katika pita pita zangu, nimekuja ona ili uwe na gari haswaa mtu unatakiwa usiwe na chini ya $60,000 na kuendelea, ingawa pia chini ya hapo waweza pata, ila ukianzia huo mpunga unapata gari haswaaa.. Kila nikiingia kwenye kuangalia gari ambayo nzuri kabisa na ambayo km zipo chini sana, basi bei zake hizoo. Hapa nikukaza mwendo wa kuziita tu pesa

Nzi
RRONDO
Offshore Seamen
ISO M.CodD
Extrovert
 
Nilikuwa napita pita kuendelea kujipa moyo, nikawa nimevutiwa na haka ka gari..
Nzi
Screenshot (2).png
 
Kumbe wahuni ndio walifika bei,ile kitu mang’anyu sana yani! Take off inahitaji u fasten seatbelt kabisa maana unaweza ukawa unapaa ukiwa ground level[emoji28] yani manouver zake ningekuwa naomba tu ->> kisha naipa moto mara shwaa nimekata semi 3 chap![emoji28][emoji28][emoji28]
Oyaa tumeni hata ka kideo basi tuone inavyofanya manuva huko road.
 
Back
Top Bottom