Duh pole kwa waliokumbwa na shida hiyoKuna gari nimeona inaungua Kimara Bucha
Sijui imepatwa na nini Yarab
KBH napajua vizuri sana mkuu.. Mwanzo kipindi machine ya kahawa nzima, nilikuwa napenda ipigia pale.. Nilikuwa napenda kwenda kula mbuzi pale rwezaula.. kuna kazi nakuja fanya hapo wiki kama mbili na itachukua mwaka mzima
Pale pabaya sana kama sio muangalifu unabutuliwa vibaya sanaKale kanjia ka kuingia na kutoka lami hua kunatokea ajali sn pale mkuu!
Safari njema mzee.Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 8
Mdogo mdogo maana crown mm naijua inamawenge. unanogewa tu kukanyaga. Mm naamsha tarehe 8 Dar -Singida halafu 13 singida -dar ndani ya majesta V8 Gear 8Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Ipelekee moto mzeeMdogo mdogo maana crown mm naijua inamawenge. unanogewa tu kukanyaga. Mm naamsha tarehe 8 Dar -Singida halafu 13 singida -dar ndani ya majesta V8 Gear 8
mkuu hii ni karibuni au za kitambo kidogo ? maana naondoka Singida maji yali block kabisa njia ya kuingia huko
Usiku mwema mkuu. Ngoja nami nilale nna km 400+ za kukimbiza upepo asubuhi kesho.Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Uwe na safari njema bila kuacha kuzidisha uangalifu njianiUsiku mwema mkuu. Ngoja nami nilale nna km 400+ za kukimbiza upepo asubuhi kesho.
Ride safely palWazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Safari njema. Uwe unatupa macho mara kwa mara kwenye speedometer maanake ukijisahau utaenda 180kph bila kujua.Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Ohooo hhhaSafari njema. Uwe unatupa macho mara kwa mara kwenye speedometer maanake ukijisahau utaenda 180kph bila kujua.
Safari njmea mkuu.. umenitoa udendaWazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Singida pana raha yake, sema nilipoteza simu yenye mapicha ya kule.. mida flani ukineda njia panda kule unaona hadi raha ndani ya nafsi kuliona lile bonde au kule kwenye mapangoo.. kuna maeneo matamu ya kufurahisha nafsi.. pluss kuku watamu mayai ya kienyeji halafu hakuna vurugu ubabe na bata lake kitongaMnanihamasisha kupita Singida.
Kila la kher mkuu!Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Nitapitia siku mojaSingida pana raha yake, sema nilipoteza simu yenye mapicha ya kule.. mida flani ukineda njia panda kule unaona hadi raha ndani ya nafsi kuliona lile bonde au kule kwenye mapangoo.. kuna maeneo matamu ya kufurahisha nafsi.. pluss kuku watamu mayai ya kienyeji halafu hakuna vurugu ubabe na bata lake kitonga