Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimelala sana KBH wana room bomba sana na bia pembeni pale
1628273032828.png

1628273076418.png

1628273158749.png
 
Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 8

Wazeee kesho namwaga moto Dar to Nzega .... mshine crown athelete imekula service ya maana niko tayari kuzihesabu Km 800+
Mdogo mdogo maana crown mm naijua inamawenge. unanogewa tu kukanyaga. Mm naamsha tarehe 8 Dar -Singida halafu 13 singida -dar ndani ya majesta V8 Gear 8
 
Mnanihamasisha kupita Singida.
Singida pana raha yake, sema nilipoteza simu yenye mapicha ya kule.. mida flani ukineda njia panda kule unaona hadi raha ndani ya nafsi kuliona lile bonde au kule kwenye mapangoo.. kuna maeneo matamu ya kufurahisha nafsi.. pluss kuku watamu mayai ya kienyeji halafu hakuna vurugu ubabe na bata lake kitonga
 
Nitapitia siku moja
 
Back
Top Bottom