Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Halafu namba moja alikataza suala la trafk kutumia fine kama kutunisha mfuko wa serikali.
 
Dar Pwani Tanga Morogoro hakuna traffic kama wa Moshi - Arusha.

Ukitoka Njia Panda Himo mpaka Arusha unakutana na trafic wengi kuliko idadi ya vituo.
Kweli kbs wanakaa mafungu mafungu hilo eneo napenda nipite kabda hakujakuchwa kukwepa iyo kero maana kosa 1 rushwa wanataka nusu ya fine wehu wale, trafic wengine chenga wapo shy ukitoboa unabahati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…