Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Leo nilikuwa na road trip about 550 km kwenda na kurudi..nchi nzuri hii tatizo ccm wanaiharibuView attachment 1884113
IMG_20210807_153241.jpg

View attachment 1884117
 
Hayo mambo ya Msata ~ Segera, muhimu sana kucheza na kibao cha upande wa pili pia. Ukiona upande wa pili kuna kibao cha duara af kwako kushoto hakipo tupia jicho, unakuta mwenzio ndio anaruhusiwa kuamsha sasa 50 imeisha wakati kwako hola he he he akili kumkichwa ukikaza fuvu umeliwa kichwa
Halafu namba moja alikataza suala la trafk kutumia fine kama kutunisha mfuko wa serikali.
 
Dar Pwani Tanga Morogoro hakuna traffic kama wa Moshi - Arusha.

Ukitoka Njia Panda Himo mpaka Arusha unakutana na trafic wengi kuliko idadi ya vituo.
Kweli kbs wanakaa mafungu mafungu hilo eneo napenda nipite kabda hakujakuchwa kukwepa iyo kero maana kosa 1 rushwa wanataka nusu ya fine wehu wale, trafic wengine chenga wapo shy ukitoboa unabahati!
 
Back
Top Bottom