Porn [emoji91][emoji91]Cockpit...
View attachment 1885985
Ukimuingiza demu kwenye hii machine, hutakiwi kumtongoza, ni moja kwa moja mpaka kwenye eneo la tukioInterior..
View attachment 1886002
Hadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.
Kuna V8 VXR moja STL nililikazia jana. Nililiona kwenye side mirror mitaa ya Wanging'ombe linataka kunipita, nikaona atanidharau huyu, nikakaza tako mpaka likapotea kwenye side mirror. Makambako nikiwa najaza wese likapita na zote nikaachana nalo.
Giza lilipoingia nikaanza kufunguka nikalikuta Chalinze. Akitoa natoa mpaka barabara ilipotulia nikaomba kulia nikaamsha. Ujasiri wa dereva una play part kubwa.
Ila V8 zina pulling aisee. Nimegundua torque yake sio ya mchezo. Tukiwa tunaovertake from low speed ana acceleration ya kutosha. Gari kibao nikiwa nyuma yao wakati wa kuovertake wananiwekea kiwingu, ila jana nyuma ya V8 tulikuwa tunatoka na kurudi chap kwa haraka.
Aisee[emoji1787][emoji1787]Ukimuingiza demu kwenye hii machine, hutakiwi kumtongoza, ni moja kwa moja mpaka kwenye eneo la tukio
Amin mkuu usisahau kutubeba sasaDuh dua zenu zinibariki.
Hahahah kwamba kuna maisha tofauti na uliyoyazoea ambapo hutumii nguvu nyingi [emoji23][emoji23]Hivi vitu unaweza usiamini ila my last raod trip imenifunza mengi.
Nilijua watu wazeee wa utelezi, hamtokosa tia neno aisee 😀😀😀Ukimuingiza demu kwenye hii machine, hutakiwi kumtongoza, ni moja kwa moja mpaka kwenye eneo la tukio
Masha'AllahKwenye pulling hizo V8 si mchezo. Ila hili Twin turbo V6 la sasa nalo moto wa kuotea mbali.
VXR ni shidaa sanaaa.. ila kuna gari ukiwa ndani hata akili hutulia hata kama ulikuwa na wenge flani lina sepaHivi vitu unaweza usiamini ila my last raod trip imenifunza mengi.
Unapoenda kupanda lift usinisahau na MimiAmin mkuu usisahau kutubeba sasa
Kuna siku nimemkuta mwarabu kaipaki pale samaki samaki .. nikaenda paki ka crown mbali kabisaaaHii imo kwenye Merc....G Wagon na wenzie.
hiyo rangi yenyewe ni shidaaa sanaaa...Hii imo kwenye Merc....G Wagon na wenzie.
Kuna rafiki yangu kaagiza VXR dubai, ipo njiani, kaniambia ikifika tu ananipa niitoe mafuta kwa safari ya dodoma.. watanikoma asee siku hiyoduh sometimes unaweza kuachwa hadi ukacheka!