Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Gari yangu cha kwanza huwa marufu kufungua vioo, na huwa zinakuwa full tinted kuanzia kioo cha mbele kwa kitu cha M3.Kwanini uwende speed ambayo unatingisha mpaka roho yangu nisiseme?
Uweke taarabu/ singeli nisikwambie ubadilishe nyimbo?
U park gari Kilimanjaro restaurant nisiseme? Wakati unajua pale chakula kawaida sana compared na bei zao
Tulipe hela na AC usiwashe? Yan utulishe vumbi na upepo bila wasi?
Hiiiiiii jamani
Country music na worship songs tutaenda sawa.Gari yangu cha kwanza huwa marufu kufungua vioo, na huwa zinakuwa full tinted kuanzia kioo cha mbele kwa kitu cha M3.
Mziki country, worship flani hivi
chakula hapo mtanifata tu kama hamtaki hamtokula.. hotel kubwa kidogo kidogo..
AC mda wote
😎😎😎
Hahaaa hapo gari iwe manual kuna muda ukitaka kubadili gear unafanya makusudi unamshika paja halafu unasingizia umeikosa gear lever bahati mbayaraha ya kichwa kivae kimini cha chini ya magoti, kikae mbele pale kwa deree... hapo speed ni 50 t0 80kmh.. [emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
Hapo safiiii kabisa.. kuna boks kabisa la etisamumoo kwa ajiri yako na ubuyu wa pembaaa 🙂🙂🙂Country music na worship songs tutaenda sawa.
Kalale na hiyo kwanza ' we should be together ya Don
Chakula nini? Basi niambie nibebe eet som more zangu kabisa na ceres.
akijiachia tu, unaleta ajari bila chengaaa ukute mguu una vutaa 🙂🙂Hahaaa hapo gari iwe manual kuna muda ukitaka kubadili gear unafanya makusudi unamshika paja halafu unasingizia umeikosa gear lever bahati mbaya
😀😀😀😀 ila kwa wewe uliyezoea kukimbiza mashine utadhani accelerator imekandamizwa na tofali sidhani kama utavumilia 50 - 80 kph hata pembeni kungekuwa na mtoto mzuri kama malaikaakijiachia tu, unaleta ajari bila chengaaa ukute mguu una vutaa 🙂🙂
Country music na worship songs tutaenda sawa.
Kalale na hiyo kwanza ' we should be together ya Don
Chakula nini? Basi niambie nibebe eet som more zangu kabisa na ceres.
Hahaaa hapo gari iwe manual kuna muda ukitaka kubadili gear unafanya makusudi unamshika paja halafu unasingizia umeikosa gear lever bahati mbaya
Hapo safiiii kabisa.. kuna boks kabisa la etisamumoo kwa ajiri yako na ubuyu wa pembaaa 🙂🙂🙂
Vijana mnanifundisha uhuni...😀😀😀😀 ila kwa wewe uliyezoea kukimbiza mashine utadhani accelerator imekandamizwa na tofali sidhani kama utavumilia 50 - 80 kph hata pembeni kungekuwa na mtoto mzuri kama malaika
Usiige tafazali 😂 Ila mbona hakuna uhuni mzito hapo.Vijana mnanifundisha uhuni...
Sema nini ? mtoto mkali akiwa pembeni safari huwa tamu sanaaa.. vituo vinakuwa vingi mapicha picha ya kutosha.. maisha huwa matamu sanaaa.. 🙂 🙂😀😀😀😀 ila kwa wewe uliyezoea kukimbiza mashine utadhani accelerator imekandamizwa na tofali sidhani kama utavumilia 50 - 80 kph hata pembeni kungekuwa na mtoto mzuri kama malaika
Na yule jini mtingisha steering naye anakuwa hachezi mbali...Sema nini ? mtoto mkali akiwa pembeni safari huwa tamu sanaaa.. vituo vinakuwa vingi mapicha picha ya kutosha.. maisha huwa matamu sanaaa.. 🙂 🙂
Hayo maneno yako mkuu.... mie simjui huyo jini uliemtaja 😎😎Na yule jini mtingisha steering naye anakuwa hachezi mbali...
Play safe 🥰
😀😀😀😀😀😀.. Ah.. safari huwa haichoshi, na umkute anajua kuchombeza ule utani utani saffiiiMoja ya vionjo vya road trip nzuri ni mtoto mzuri pembeni
Huu utani utani mixer uchokozi wa hapa na pale ulisababisha yule deree atake kuingia mtaroni.😀😀😀😀😀😀.. Ah.. safari huwa haichoshi, na umkute anajua kuchombeza ule utani utani saffiii
utani utani una raha yake weweee.. ajari kaziniHuu utani utani mixer uchokozi wa hapa na pale ulisababisha yule deree atake kuingia mtaroni.
Kuwa makini kijana
tupige basi trip moja basii 🙂Huu utani utani mixer uchokozi wa hapa na pale ulisababisha yule deree atake kuingia mtaroni.
Kuwa makini kijana
Itapigwa..tupige basi trip moja basii 🙂