Kama alikaa Dom miaka 4 na hajui hata chako n chako iko wapi 😂 sembuse Dar mchanganyiko hiyo?Muda wote huo umekaa Dar hujui mitaa?
Huwa natumia google map japo napendelea zaidi kuuliza.Tumia smartphone yako huwezi kupotea.
Unatakiwa ujue maeneo muhimu...strategic areas. Huoni watu tunakaa Mbagala ila mlimani city,beach kidimbwi tunazijua?Kama alikaa Dom miaka 4 na hajui hata chako n chako iko wapi 😂 sembuse Dar mchanganyiko hiyo?
Me mwenyewe dar siijui ipasavyo 😂 kama Dom na Arusha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama alikaa Dom miaka 4 na hajui hata chako n chako iko wapi [emoji23] sembuse Dar mchanganyiko hiyo?
Me mwenyewe dar siijui ipasavyo [emoji23] kama Dom na Arusha.
Nikienda lazima nitapotea.Kwanini?
Mbagala mmmmhhh.Unatakiwa ujue maeneo muhimu...strategic areas. Huoni watu tunakaa Mbagala ila mlimani city,beach kidimbwi tunazijua?
fanya namna sasa sio uni miss tu 🥸🥸Kiasi 😂
🤣🤣🤣 Kkoo inatoa nishai watu wengi tu. Me napoteaga sanaa, afu sipendi kuuliza uliza basi unakuta nazunguka mno.Ila kkoo siwezi kwenda mwenyewe hata iweje
😀😀😀😀 nitakupeka kila mahali usijali kulala pale pale tu 😎😎😎Mbagala ipi wewe acha kutuleta 😂
Mcity bana hata sisi wa Chanika tunaijua. Kidimbwi najua Holy Man atanipeleka
Tandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?Mimi nipo tandale ndanindani,kufika tu stand ni msala.
Muda mwingine nasahau hata njia ya nyumbani
Swadaktaaaa 😎😎 trip zote za townbPale pale wapi? Paleee au sio? Pale bana ila fresh 😂
Na Posta eeh?
Dar huwezi ijua yote.Tandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?
Me naijua ile ya pale magomeni kanisani inaingia kwa ndani huko.
Kuna watu wanaijua Daslam sana, nina rafiki angu anajua chocho hatari. Kwanza Dar humtoi, anakwambia nikitoka nje ya Dar nitapauka.
Hivi el shadai sio wimbo wa wakenya? 😳😳🤣🤣🤣 Kkoo inatoa nishai watu wengi tu. Me napoteaga sanaa, afu sipendi kuuliza uliza basi unakuta nazunguka mno.
Kuna siku naitafuta El Shadai Shopping center nimeshukia Sokoni jamani hii siku nilijua kuzunguka 😂
Ni wimbo ndiyo. Na pia kuna duka lipo kkoo laitwa El shadai shopping center wana mashuka, pazia, mito , carpets, vessels and the like.Hivi el shadai sio wimbo wa wakenya? 😳😳
Mimi Dom tu walihamishia stand sabasaba toka jamatini nilipotea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kkoo inatoa nishai watu wengi tu. Me napoteaga sanaa, afu sipendi kuuliza uliza basi unakuta nazunguka mno.
Kuna siku naitafuta El Shadai Shopping center nimeshukia Sokoni jamani hii siku nilijua kuzunguka [emoji23]
Nilishawahi kuibiwa kkoo pasipo kuelewa nimeibiwa vipi 😂Afadhali upotee kuliko kuibiwa au kutapeliwa