Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama alikaa Dom miaka 4 na hajui hata chako n chako iko wapi [emoji23] sembuse Dar mchanganyiko hiyo?


Me mwenyewe dar siijui ipasavyo [emoji23] kama Dom na Arusha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha ajabu hata mtaani ninapoishi sipajui vizuri[emoji38].

Nikiwaza kuna kupotea naishiwa nguvu,natulia.
Na ubaya wa huku yaani kuna kuunganisha daladala..hakuna daladala ya moja kwa moja kunipeleka ninapotaka...

Ila hata iweje kariakoo siendi pekeyangu.
 
Mimi nipo tandale ndanindani,kufika tu stand ni msala.
Muda mwingine nasahau hata njia ya nyumbani
emoji1751.png
Tandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?

Me naijua ile ya pale magomeni kanisani inaingia kwa ndani huko.

Kuna watu wanaijua Daslam sana, nina rafiki angu anajua chocho hatari. Kwanza Dar humtoi, anakwambia nikitoka nje ya Dar nitapauka.
 
Tandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?

Me naijua ile ya pale magomeni kanisani inaingia kwa ndani huko.

Kuna watu wanaijua Daslam sana, nina rafiki angu anajua chocho hatari. Kwanza Dar humtoi, anakwambia nikitoka nje ya Dar nitapauka.
Dar huwezi ijua yote.
Dar naijua mwenge, upanga, posta na kariakoo ila kwingine tia maji tia maji huwa naenda straight eneo husika tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kkoo inatoa nishai watu wengi tu. Me napoteaga sanaa, afu sipendi kuuliza uliza basi unakuta nazunguka mno.

Kuna siku naitafuta El Shadai Shopping center nimeshukia Sokoni jamani hii siku nilijua kuzunguka [emoji23]
Mimi Dom tu walihamishia stand sabasaba toka jamatini nilipotea.
Nilikuwa sijui kama wamehamisha[emoji23]

Lengo langu ilikuwa niende barabara ya 7 kule,aisee..nilizunguka ile siku ile hadi nikachukua boda.

Sasa wewe tu Kumbe unapotea,itakuwa Mimi?[emoji38]
 
Back
Top Bottom