Uzuri yale ma gesi hayalipukagiWenzetu wako mbali Mkui bajeti ya wizara ya ulinzi ni zaidi ya trillion 500 za kitanzania,! Kwa sasa Ina bidi kufunga gesi hakuna namna sasa ukipinga mzinga na ma gesi hayo sijui itakuwaje?!
Haha siyo uchungaji ila nafikiri ni vile mimi na ngono ni kama mbingu na ardhiMungu anakuandaa kuwa mchungaji [emoji851][emoji851][emoji851]
Hahaa kwamba unioe mimi siyoYeah nilikuwa nangoja ukue kue kwanza ili tuendane kimtazamo[emoji7]
Unajihisi hivyo 😅 amna mwanamke ambaye sio wife material inategemea na conversion kit aliokutana nayo!Hahaa kwamba unioe mimi siyo
Hivi hujaonaga wife material huko
Maana kwa vigezo vya wanaume wa bongo mimi siyo wife material na wala sina mpango wa kuwa
Mungu anakupenda badoEbanaaaeeeehhhh....
Kila nikikamua waaapiiii simalizi kisahaniiii.
Kwani kuna nini ..!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
What do you expect? Thats how it should be driven hence the name Royal Saloon! Hebu nisome vizuri. Rav4,Vanguard,Xtrail advantage yake ni few cm higher. Ukipita kwenye njia mbovu haitakwangua chini lakini,LAKINI maumivu ya bush na kuharibika vitu jamii ya bush viko pale pale tena hizi kili time,vanguard na xtrail ndio nyanya kabisa huko chini. Kwahio wewe ukijidanganya hubembelezi gari haitagusa chini ila maumivu yake kwenye bush utapata majibu ndani ya muda mfupi tu ndio maana ukipanda au ukiendesha hizo 'suv' zenu zinagonga kama Eicher la gongolamboto!Crown unaibembeleza sana kwenye rough road
😅😅😅😅😅😅😅 ni kweli mzee baba, nimetoka kufix D-Bush na Links juzi maana vigele gele vilitamalaki uvunguni.What do you expect? Thats how it should be driven hence the name Royal Saloon! Hebu nisome vizuri. Rav4,Vanguard,Xtrail advantage yake ni few cm higher. Ukipita kwenye njia mbovu haitakwangua chini lakini,LAKINI maumivu ya bush na kuharibika vitu jamii ya bush viko pale pale tena hizi kili time,vanguard na xtrail ndio nyanya kabisa huko chini. Kwahio wewe ukijidanganya hubembelezi gari haitagusa chini ila maumivu yake kwenye bush utapata majibu ndani ya muda mfupi tu ndio maana ukipanda au ukiendesha hizo 'suv' zenu zinagonga kama Eicher la gongolamboto!
Hahaa tulia weweUnajihisi hivyo [emoji28] amna mwanamke ambaye sio wife material inategemea na conversion kit aliokutana nayo!
😎😎😎😎😎😎 usijiwekee yamini hivyo unafeli bana don’t wish bad!Hahaa tulia wewe
Sisi wengine ni pasua vichwa
Usije ukafa ndoani kisa stress mtoto wa watu ndugu zako wakaja kunilaumu au kunishitaki au waniroge kabisa
Ila treni ungese kweli yani, likitu linatembea 40KPH mtafika leo kweli yani😅 sawa sawa na kagari kanakotembelea gear 2 tu! Linatia hata uvivu yani bora mfanye kama ka picnic tu mkodi behewa wewe na mpenzio😻 mjimwage!Tazara Wana treni 2 za kutoka Dar- Kapiri mposhi(Zambia). Wana Express hii haisimami kila kituo Ina vituo vikubwa kutoka Dar-Tunduma pia wanayo Ordinary ambayo inasimama kila kituo kuchukua na abiria na inatumia muda mrefu kidogo Dar-Tunduma.
Hivyo mtu anaweza akasafiri Dar-Ifakara/Makambako/Mbeya/Tunduma kutalii na kurudi na basi.
She a Good bae,,,just frontin tu hapa she got them goodies!Too defensive....must be very decent.
Aah kabisa sema hajui tu i really fond for her type so badly! I like defensive chicks cause they pose challenges..,in other words they ain’t open for everybody so you gotta be good in cracking them codes to get into her lane😅Anajidai pasua kichwa ila wife material tu huyo
Hebu piga nae road trip moja hata fupi tuAah kabisa sema hajui tu i really fond for her type so badly! I like defensive chicks cause they pose challenges..,in other words they ain’t open for everybody so you gotta be good in cracking them codes to get into her lane😅
Ana V8 kama la hom kwao?Hebu piga nae road trip moja hata fupi tu
Mkuu futa kauli yako analiwa kunguru sembuse yeyee[emoji23][emoji23][emoji23]Ana V8 kama la hom kwao?
Wakishua huyo hafu haliwi nilimnukuu mahala