Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mungu anakuandaa kuwa mchungaji [emoji851][emoji851][emoji851]
Haha siyo uchungaji ila nafikiri ni vile mimi na ngono ni kama mbingu na ardhi

Halafu mimi miaka buku siwezagi kumuomba mwanaume pesa hata iweje na hata awe nani yangu labda nikukope tu ile ya kusaidiana kama washikaji na nikikukopa lazima nitakulipa tu pesa zako na si kitu kingine

Basi tu najikutaga sinaga shida na pesa za watu na najisikiaga fahari paying my own bills ndiyo maana mimi na wanawake wanaotumia ngono kama kitega uchumi hatuwezi kuenenda pamoja wala kuwa marafiki hata siku moja
 
Crown unaibembeleza sana kwenye rough road
What do you expect? Thats how it should be driven hence the name Royal Saloon! Hebu nisome vizuri. Rav4,Vanguard,Xtrail advantage yake ni few cm higher. Ukipita kwenye njia mbovu haitakwangua chini lakini,LAKINI maumivu ya bush na kuharibika vitu jamii ya bush viko pale pale tena hizi kili time,vanguard na xtrail ndio nyanya kabisa huko chini. Kwahio wewe ukijidanganya hubembelezi gari haitagusa chini ila maumivu yake kwenye bush utapata majibu ndani ya muda mfupi tu ndio maana ukipanda au ukiendesha hizo 'suv' zenu zinagonga kama Eicher la gongolamboto!
 
😅😅😅😅😅😅😅 ni kweli mzee baba, nimetoka kufix D-Bush na Links juzi maana vigele gele vilitamalaki uvunguni.
 
Tazara Wana treni 2 za kutoka Dar- Kapiri mposhi(Zambia). Wana Express hii haisimami kila kituo Ina vituo vikubwa kutoka Dar-Tunduma pia wanayo Ordinary ambayo inasimama kila kituo kuchukua na abiria na inatumia muda mrefu kidogo Dar-Tunduma.

Hivyo mtu anaweza akasafiri Dar-Ifakara/Makambako/Mbeya/Tunduma kutalii na kurudi na basi.
Ila treni ungese kweli yani, likitu linatembea 40KPH mtafika leo kweli yani😅 sawa sawa na kagari kanakotembelea gear 2 tu! Linatia hata uvivu yani bora mfanye kama ka picnic tu mkodi behewa wewe na mpenzio😻 mjimwage!

Nasubiria hayo ma Standard gauge ya 160KPH walau yatakuwa fasta aisee..!
 
Aah kabisa sema hajui tu i really fond for her type so badly! I like defensive chicks cause they pose challenges..,in other words they ain’t open for everybody so you gotta be good in cracking them codes to get into her lane😅
Hebu piga nae road trip moja hata fupi tu
 
Extrovert & RRONDO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ningewaelezea baadhi ya characteristics zangu sema nitajianika tu sasa

I am always sincere when it comes to explaining my personality ila tu siyo kwa kila mtu

Ila aminini tu kwamba mie siko decent wala siyo wife material kabisa kama mnavyosema

Kwa sifa zangu sifai kabisa kuwa mke wa mtu na huko kwenye ndoa tutaenda kutesana tu
 
Back
Top Bottom