π π π π π IST ilipigwa mkono wa baraka ndani ya bonnet! Ukaichukulia poa poa!Kuna siku kuna IST ilitaka kuni suprise, nahisi waliifanyie vitu ile maana iliniwashia moto nikawa nachukulia poa..
Ni mwendo wa moto tu maana hamna namna ingineacha tuwepelekea motoo tu, usimshtue alie lala πππ
π π π π π π hio mashine nasubiria kuona wa kwanza kuiingiza maana ata trend jiji zimaπUnae vumilia ukafa huku ukivumilia ππ
Watu wa miaka ya 1970 tayari tuna miaka 50[emoji3]Uzee umeanza lini wewe[emoji28]
Wapelekee moto,peleka motoooo.acha tuwepelekea motoo tu, usimshtue alie lala [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanaume aina ya baba wapo.Basi ili upate burudani tafta mwanaume kama baba yako tu. Well its easy to be that kind of man kama unapata mwanamke anayejua mapenzi haswa na muaminifu kwako.
π π π π π π parangana maana sie ma mwinyi hutatuweza!Wanaume aina ya baba wapo.
Hadi Sasa gap lake linaonekana..usafi wote nje ya nyumba lilikuwa jukumu lake.
Hadi Sasa hakuna anayefanya kama yeye.
Fikiria naye angejiweka kama mlemavu..ingekuwaje.
Njoo nikupigishe bia hapaUmeanza lini kula muwa?
Ukifanya hayo hayaondoi nafasi yako kama mwanaume.. nafasi yako inabaki palepale.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] parangana maana sie ma mwinyi hutatuweza!
Huna jeuri hio! Bia yenyewe unalamba na sukari kila fundo πNjoo nikupigishe bia hapa
Tupige vyombo[emoji23]
Tena nakunywa zile kalikaliHuna jeuri hio! Bia yenyewe unalamba na sukari kila fundo [emoji28]
this is very true wanaume wanataka wanawake kama wamama wa zamaniWanaume aina ya baba wapo.
Hadi Sasa gap lake linaonekana..usafi wote nje ya nyumba lilikuwa jukumu lake.
Hadi Sasa hakuna anayefanya kama yeye.
Fikiria naye angejiweka kama mlemavu..ingekuwaje.
Sasa watu kama sisi ambao tushajijua hatutawezana hivyo tumejiweka pembeni si ndiyo mnatubeza mara oo tukutane at fortys sijui utakuwa mpweke na blah blah zingineEndeleeni kujifunza, kama mama yako alikuwa successful in marriage ndio mfano halisi wa namna unatakiwa uishi! Uzuri ndoa ni mkataba ulio wazi kabisa, shida wengi mnataka harusi na sio ku deal na majukumu ya ndoa sikuhizi!
Hamna maana ya kuoa ikiwa terms and conditions mwanamke haziwezi! Usije compel mtu kukuoa kama hutaweza kuishi kama mke please. Being a wife involves taking orders from your man,kama hauwezi kausha wenye kuweza wataolewa.
We donβt want these 6 months marriage divorces no more.
Bila kuwasahau na wale wanaume wanaokacha majukumu yao ya "kula kwa jasho" wanataka kusaidiwa maishaEnhee endeleeni kumwagika [emoji28] hiki kizazi cha yahoo.com ni balaa
Wanawake wengi wa siku hizi ndoa siyo fimbo ya kuwachapia tena tunakoelekea angalieni tu msije mkajikomoa wenyewe maana siku hizi malalamiko mengi kuhusiana na mapenzi yanatoka kwenu sijui kwaniniacha tuwepelekea motoo tu, usimshtue alie lala [emoji3][emoji3][emoji3]
Hamtuumizi vichwa kabisaa, tuna wanywa kama majiWanawake wengi wa siku hizi ndoa siyo fimbo ya kuwachapia tena tunakoelekea angalieni tu msije mkajikomoa wenyewe maana siku hizi malalamiko mengi kuhusiana na mapenzi yanatoka kwenu sijui kwanini
Na mimba na ya mr. Impreza? Hahaa pole sana Aisha π€£π€£
Africa mume amsaidie mke kazi za ndani thubutuuu hiyo ni dhambi na laana kubwa sana lakini mke kumsaidia mume kulipia bills na mahitaji ya watoto aahh fresh tu tena huyo ndiyo aonekana wife material aliyekamilikaWazazi wangu waliishi kwa kusaidiana.
Baba Yangu kuna alikuwa anapika akijisikia au mama akiwa hayupo vizuri.
Mama kanikuza vyema. Tulia baharia π€£Enhee endeleeni kumwagika π hiki kizazi cha yahoo.com ni balaa
Wewe extrovert ulishasema katu hauwezi msaidia mke wako hizo kazi hata awe mwema kiasi gani and yet unataka yeye awe anakupiga tafu unapokwamaBasi ili upate burudani tafta mwanaume kama baba yako tu. Well its easy to be that kind of man kama unapata mwanamke anayejua mapenzi haswa na muaminifu kwako.