Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duuuh, wahurumieni wazee
 
Duuuh, wahurumieni wazee
Hata sisi ni binadamu mkuu.

Mtu aliyesimama gari inapoanzia Mimi binafsi simpishi.

Hata Mungu anahitaji kiasi.
Nitampisha tu aliyepanda vituo vya njiani .


Nimeeleza scenario kwamba mm mwenyewe nilikuwa hoi naumwa..nisingeweza kusimama.

Halafu hata nikimpisha Mtu ni Kwa upendo wangu tu...Mimi mwenyewe zile siti zinanihusu maana nina hitilafu Kwenye viungo vyangu ukiwepo mguu.
Na nimeshasema huwa nakaa mara chache sana,mara nyingi nasimama.

Kwahiyo siku nikikaa nakuwa na sababu ..na kuinuka siwez.
 
Hizo nauli za Uber ukikusanya miaka 2 tayari unapata chombo cha usafiri.

Nyumba haijengwi kwa haraka,inaenda taratibu...
Ni bora mtu akakomboka Kwenye usafiri ili mengine yaendelee.
Hehe basi ndiyo ukubali kuhenya kwenye madaladala, hadi hapo utakapojichanga ukapata usafiri wako binafsi.

Kwangu binafsi ujenzi utasubiri sana, na vile mafundi walivyo wezi nitajenga nikipata muda wa kusimamia mwenyewe.
 
Yaani bora umpishe mtu asubuhi unakuwa bado una Nguvu, ila jioni aisee watu wengi washajichokea kama punda kusimama mtu anaona kama adhabu.
 
Safari njema mwana. Baada ya lusahunga Kati ya Uyovu na Ushirombo Kuna sehemu wanaweka maboga makubwa Sana barabarani. Bei ya kutupa.
Maboga na wota melon

Wana majumui wamefunga pm zao

Nilipata usingizi mida ya saa tisa nikiwa meserani ikabidi niweke chuma pembeni niupunguze

Now nipo fit kikatiti naitafuta kia/boma
 
Kwenye maungio ndio pabaya dereva akiminya breki lazima uyumbe unakutana na bazazi Bluetooth ipo on anakubambia bila kulipa tozo.

Sehemu salama ukakae mbele karibu na dereva.
 
Kwenye maungio ndio pabaya dereva akiminya breki lazima uyumbe unakutana na bazazi Bluetooth ipo on anakubambia bila kulipa tozo.

Sehemu salama ukakae mbele karibu na dereva.
Mbele karibu na dereva sio sehemu salama

Kwenye maungio (jost) ni salama zaidi kwa waliosimama kuliko mahali popote

Tatizo ni pale gari inaponyumbulika mfano kuingia:

city council

fire kutokea ama kuelekea gerezani

Mzunguko wa kimara

Na sasa moroco

Hata wezi hawakugusi

Nimepumzika hedaru hapa
 
Pale kwenye maungio kukiwa na nyomi mtu anakosa pa kujishika, shekhe hawa dada zetu waliojaaaliwa wakikutana na mabazazi mtu anachaji 24V ndani ya sekunde chache mpaka geji inasoma overvoltage.

Mbele sio salama Kuna siku Pale Fire Junction dereva wa mwendokasi aliforce kupita taa zilikuwa hazifanyi kazi almanusura aipige Eicher ubavu kwa brake za ghafla Alizoshika abiria wa mbele wote walionguka na angekuwa spidi wangetoka na kioo Cha mbele.
 
Wadada wa humu ni wazuri/ visu hatari

Wakikutana na kina sie wenye sura na muonekano wa mbaula

Fiat 682 ya vita vya pili vya dunia mkasi juu mkasi chini kumbe ndio spirit kwa magari ya kisasa

Wengi tunaita sprinter[emoji3]
Wamejaliwa neeema haswa, Mimi huwa narejea Sheria za Maabara na kumkumbuka Mwalimu wa form 1 Chemistry.

Don't touch anything without permission.
 
Mkuu

Kabla kivukoni hawaijui bombadia gerezani kimara ilikuwa maarufu

Kimara-mbezi na lile foleni kama lote

Express gerezani -kimara na foleni la ubungo

Kaka tuishie hapo naelewa ninachokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…