Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wamejaliwa neeema haswa, Mimi huwa narejea Sheria za Maabara na kumkumbuka Mwalimu wa form 1 Chemistry.

Don't touch anything without permission.
Unagusa tu, wakaidi hatufaidi paka siku ya idi huwezi jua idi yako ni lini, una force tu kama utakutana na Sulphuric acid aaa! majibu yatapatikana huko huko
 
ad5a807b-11c1-4ee7-baf5-0c8277284d5c.jpg

Location:Kingolwira

N:B sijavaa kikaptula na sendo[emoji16]
 
Back
Top Bottom