UkItoka saa hizi utafika saa Tisa!
Sijui ntafika saa ngapi[emoji2308]
Usitusahau kwa picha mkuuHakuna anaenda Stone Town kesho?
Kabisa KabisaFahari ya macho haifilisi duka.
Aahh Kabisa hakuna kucheka na nyaniMie huwa nikiingia kwenye daladala cha kwanza nalala hapo hapo huku natazama chini, sitaki shobo..
Mjini MagharibiRock city
Ama ulimaanisha nini ani
Mkuu wazoefu wa vituo hatupati taabu kabisa, maana nalala kinafiki ila nakuwa macho namsikia konda kama kawaUtapitishwa kituo mkuu
Naona kuna uchocheaji wa kuni hapo 😀😀🔥🔥🔥🔥
Kesho naondoka Dar saa nne usiku kuelekea Shinyanyanga, sababu ya kuondoka saa nne za usiku ni kukwepa ka foleni hakoHio trip siku hizi Imekuwa ya kijinga sana. Kuna foleni ya malori balaa
Gx 100
Naona leo beam2000 imekumbukwa,,😀😀😀
Probably 😆 maana angekuwa sio yeye huyo Chilita angekuwa tagged.
Jehovah Shalom DJ 😍Shalom!