Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Penye maungio tunaegemea pembeni mkuu kwenye yale mamikunjo kama kinanda.Kwenye maungio ndio pabaya dereva akiminya breki lazima uyumbe unakutana na bazazi Bluetooth ipo on anakubambia bila kulipa tozo.
Sehemu salama ukakae mbele karibu na dereva.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye maungio ndio pabaya dereva akiminya breki lazima uyumbe unakutana na bazazi Bluetooth ipo on anakubambia bila kulipa tozo.
Sehemu salama ukakae mbele karibu na dereva.
Gari likinyumbulika ndio huwa Raha zaidi.Mbele karibu na dereva sio sehemu salama
Kwenye maungio (jost) ni salama zaidi kwa waliosimama kuliko mahali popote
Tatizo ni pale gari inaponyumbulika mfano kuingia:
city council
fire kutokea ama kuelekea gerezani
Mzunguko wa kimara
Na sasa moroco
Hata wezi hawakugusi
Nimepumzika hedaru hapa
Agata Edward's Avatar...Hahahaha.
Na ile sehemu mtu huwezi kusimama kama umekosa sehemu ya kujishika au kuegemea.Pale kwenye maungio kukiwa na nyomi mtu anakosa pa kujishika, shekhe hawa dada zetu waliojaaaliwa wakikutana na mabazazi mtu anachaji 24V ndani ya sekunde chache mpaka geji inasoma overvoltage.
Mbele sio salama Kuna siku Pale Fire Junction dereva wa mwendokasi aliforce kupita taa zilikuwa hazifanyi kazi almanusura aipige Eicher ubavu kwa brake za ghafla Alizoshika abiria wa mbele wote walionguka na angekuwa spidi wangetoka na kioo Cha mbele.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie huwa nikiingia kwenye daladala cha kwanza nalala hapo hapo huku natazama chini, sitaki shobo..
VikongweMbona inasemekana Jf ina vidada vizee visivyoeleweka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji119]Mkuu wazoefu wa vituo hatupati taabu kabisa, maana nalala kinafiki ila nakuwa macho namsikia konda kama kawa
🔥🔥🔥🔥
Nimeagiza ugali mbuziTown tripping ziendelee kama za nje hazipo. [emoji41]View attachment 1944983
Kama bandari inatotoaHio trip siku hizi Imekuwa ya kijinga sana. Kuna foleni ya malori balaa
Hapa umenikosha[emoji3]Aahh usiwanyime Vijana ulichopewa bure, hiyo ni dhambi.
Zile kucha rangi ya njano hujatoa?!Mbona inasemekana Jf ina vidada vizee visivyoeleweka?
Zile kucha rangi ya njano hujatoa?!
Amazing sana
Wanasema Tanga kuna raha kila aendaye harudi, nashangaa kwanini kina RRONDO huwa wanarudi. [emoji16][emoji16]Tanga [emoji3]
Lugha ni kiswahili ila hiyo lahaja si wadada (hawa ndio kinanda) si wanaume hatari!
Nimepishana alfajiri ile na mashabiki wa 'mnyama' gari za abiria kama zote wakielekea Dar
Naelekea zangu nilipotoka nimeshiba grinker
Ila tanga kuna balaa
Hahaha eti gagaziko, hii misimamo saa ingine We ipotezeage tu mwaya usiitilie maanani sana.Hapa umenikosha[emoji3]
Lakini wakati mwingine huwa napata gagaziko na misimamo yako
Sio kwa ubaya mwayego