Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwenye maungio ndio pabaya dereva akiminya breki lazima uyumbe unakutana na bazazi Bluetooth ipo on anakubambia bila kulipa tozo.

Sehemu salama ukakae mbele karibu na dereva.
Penye maungio tunaegemea pembeni mkuu kwenye yale mamikunjo kama kinanda.

Ila kuna siku nilikosa sehemu ya kuegemea ,niliyumba sana hadi kijana mmoja akanipa space nikasimama nikamuegemea japo kwa kujibana.

Hii ndiyo sehemu pekee huwa napenda kusimama..naweza hata kulala usingizi pale ..jinsi yale mavinanda yanavyojikunja na kujikunjua huwa najisikia Raha .
 
Town tripping ziendelee kama za nje hazipo. 😎
IMG_20210918_144251_493.jpg
 
Mbele karibu na dereva sio sehemu salama

Kwenye maungio (jost) ni salama zaidi kwa waliosimama kuliko mahali popote

Tatizo ni pale gari inaponyumbulika mfano kuingia:

city council

fire kutokea ama kuelekea gerezani

Mzunguko wa kimara

Na sasa moroco

Hata wezi hawakugusi

Nimepumzika hedaru hapa
Gari likinyumbulika ndio huwa Raha zaidi.
Linawabana pamoja na kuwaachia.

Ni sehemu iliyo stable kwa kusimama.
 
Pale kwenye maungio kukiwa na nyomi mtu anakosa pa kujishika, shekhe hawa dada zetu waliojaaaliwa wakikutana na mabazazi mtu anachaji 24V ndani ya sekunde chache mpaka geji inasoma overvoltage.

Mbele sio salama Kuna siku Pale Fire Junction dereva wa mwendokasi aliforce kupita taa zilikuwa hazifanyi kazi almanusura aipige Eicher ubavu kwa brake za ghafla Alizoshika abiria wa mbele wote walionguka na angekuwa spidi wangetoka na kioo Cha mbele.
Na ile sehemu mtu huwezi kusimama kama umekosa sehemu ya kujishika au kuegemea.

Mimi huwa najitahidi niwahi niegrlemee yale mamikunjo

Kwahiyo pale hata population yake ni ndogo,hakuna msukumano kama sehemu nyingine.
 
Tanga [emoji3]

Lugha ni kiswahili ila hiyo lahaja si wadada (hawa ndio kinanda) si wanaume hatari!

Nimepishana alfajiri ile na mashabiki wa 'mnyama' gari za abiria kama zote wakielekea Dar

Naelekea zangu nilipotoka nimeshiba grinker

Ila tanga kuna balaa
 
Tanga [emoji3]

Lugha ni kiswahili ila hiyo lahaja si wadada (hawa ndio kinanda) si wanaume hatari!

Nimepishana alfajiri ile na mashabiki wa 'mnyama' gari za abiria kama zote wakielekea Dar

Naelekea zangu nilipotoka nimeshiba grinker

Ila tanga kuna balaa
Wanasema Tanga kuna raha kila aendaye harudi, nashangaa kwanini kina RRONDO huwa wanarudi. [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom