Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

bado Gari kdogo sijawez Nunua.
Endeleen nyie
 
Kweli. Huwa natoka Dar mpaka Lindi bila kupigwa mkono na traffic nikiwa na na Hardbody kangu
 
Raha sana mm huwa nazunguka nchi nzima alafu unakuwa na ndinga moja very powerful yaani full speed hivi vi ist unavipita tuu kama kuku wa a kizungu anyejifunza kukimbia yaa mwanzo mwisho speed 200 km/hrs
 
Ha ha ha aisee!
 
Bara bara gani Tz unaendesha mwanzo mwisho 200kph..?
Hujakutana na gari za speed wewe ,siku ukikutana nazo utakuja tena kuanandika hapa ,ila kwa ki uanzia wewe tuna kupa harier natako ya nyani iliyo fanyiwa tunning ,sasa wewe na katoyota gani kago sijui fuata uone kama u yet arudi au utabaki njiani unabadikisha engine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…