Jana on the way to Moro kuna askari kaniletea za kuleta kule vichakani ubena, nimemkazia mpaka tukaenda kituo cha polisi. Jamaa wanajua kupotezea watu muda.
Lugha za vijana ngumu sana.vipi asee!
🤣🤣🤣 una vituko.Basi mwanga umenichekecha. Itakuwa rangi ya nabii hii
Then you are a lost cause.Yeah..
Unatumia internet gani mkuu? Reply after 10 months?Then you are a lost cause.
Ila kuna zile za live live hukatai.... wapo sana kipande cha chalinze. Wanavaa nguo za brown sawa na miti ya pale na wanajificha kwenye vivuli wasionekane. Yani wanakufumania kiutamu sana.Overtaking inakuwa rahisi kusumbuana nao...
Hahaaa i think jamaa uzi ndiyo kauona leo! Maana huyo aliyereply siye yule aliyemuuliza hilo swali!Unatumia internet gani mkuu? Reply after 10 months?
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Then you are a lost cause.
kadri unavyopanda juu udenda unazidi mwagika tuu 🤤🤤🤤Kama hamna filter hii ndio rangi ya mtume S.A.W
Madereva wa mabasi ya mikoani huwa wanajua kuwazoom huko huko wanakojificha. Utasikia tu "oya mmoja yule mwingine yule pale umewaona" we unabaki unashangaa tu.Ila kuna zile za live live hukatai.... wapo sana kipande cha chalinze. Wanavaa nguo za brown sawa na miti ya pale na wanajificha kwenye vivuli wasionekane. Yani wanakufumania kiutamu sana.
Na kuna zile za kupigwa picha.
Uzoefu ni kitu muhimu sana. Wapo kila siku barabarani so wanazijua hotspot zaoMadereva wa mabasi ya mikoani huwa wanajua kuwazoom huko huko wanakojificha. Utasikia tu "oya mmoja yule mwingine yule pale umewaona" we unabaki unashangaa tu.
Kuna siku kule Bagamoyo kabla ya kuifikia ile round about niliona wamejificha kwenye machaka wanavizia watu daah. Mwishowe watagongwa na manyoka hatari ndugu zetu hawa.
Anasema nimeovateki vibaya na mimi nina uhakika sijafanya hivyo. Plus mahala nilipofanyia overtake ya mwisho ni mbali asingeweza kuniona kwa pale alipokuwepo. Maana yake asingeweza kujua mstari uliruhusu au la. Kwamba ka assume. Kitiuoni akageuza maelezo kwamba aliniona huko nyuma akanikariri akaniovateki akaja kunisimamishia mbele baadaye.Shida ilikuwa nini?
Huwa nakuwa mpole kama nimefanya kosa ila mambo ya kusingiziana huwa nabadilika kabisa.Anasema nimeovateki vibaya na mimi nina uhakika sijafanya hivyo. Plus mahala nilipofanyia overtake ya mwisho ni mbali asingeweza kuniona kwa pale alipokuwepo. Maana yake asingeweza kujua mstari uliruhusu au la. Kwamba ka assume. Kitiuoni akageuza maelezo kwamba aliniona huko nyuma akanikariri akaniovateki akaja kunisimamishia mbele baadaye.
Silaha yao kubwa ni kukupotezea muda. Anajua hutapenda kupoteza muda so you gonna negotiate in his favor!Anasema nimeovateki vibaya na mimi nina uhakika sijafanya hivyo. Plus mahala nilipofanyia overtake ya mwisho ni mbali asingeweza kuniona kwa pale alipokuwepo. Maana yake asingeweza kujua mstari uliruhusu au la. Kwamba ka assume. Kitiuoni akageuza maelezo kwamba aliniona huko nyuma akanikariri akaniovateki akaja kunisimamishia mbele baadaye.
Ni kuwa makini na kufuata tu sheria za barabarani ili usisumbuane naoUzoefu ni kitu muhimu sana. Wapo kila siku barabarani so wanazijua hotspot zao