Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unatumia internet gani mkuu? Reply after 10 months?
Hahaaa i think jamaa uzi ndiyo kauona leo! Maana huyo aliyereply siye yule aliyemuuliza hilo swali!

Lakini bora huyo umenikumbusha kuna mtu nilikuta amereply uzi wa miaka saba iliyopita! Yaani uzi wa 2014 kaureply 2021 watu walimshangaa sana!

Na uzi wenyewe mtoa mada alikuwa anaomba ushauri kwa mtaji wa 30K aanze na biashara gani! Na mtoa mada mwenyewe last activity yake ilikuwa 2018 huko sijui!

Sasa hata kufikiria tu kwamba huyo mtu baada ya miaka saba bado tu atakuwa na hiyo hiyo 30K na bado anaomba ushauri afanyie nini! Mimi ndiyo maana kabla sijachangia uzi wowote au kumquote member yoyote huwa naangalia kwanza!

Naangalia huo uzi una muda gani na last activity ya huyo ninayetaka kumquote je ni active member au dormant au unaweza kuta ni extinct kabisa! Huwa nareply kama member ni active tu!

JF bhana unaweza dhani watu wame time travel! Maana unaweza kuta yule aliyereply kweli alirudi back in time hadi 2014 sema tu sisi huku ndiyo hatujui tunabeza tu hahaaa!
 
Ila kuna zile za live live hukatai.... wapo sana kipande cha chalinze. Wanavaa nguo za brown sawa na miti ya pale na wanajificha kwenye vivuli wasionekane. Yani wanakufumania kiutamu sana.

Na kuna zile za kupigwa picha.
Madereva wa mabasi ya mikoani huwa wanajua kuwazoom huko huko wanakojificha. Utasikia tu "oya mmoja yule mwingine yule pale umewaona" we unabaki unashangaa tu.

Kuna siku kule Bagamoyo kabla ya kuifikia ile round about niliona wamejificha kwenye machaka wanavizia watu daah. Mwishowe watagongwa na manyoka hatari ndugu zetu hawa.
 
Uzoefu ni kitu muhimu sana. Wapo kila siku barabarani so wanazijua hotspot zao
 
Shida ilikuwa nini?
Anasema nimeovateki vibaya na mimi nina uhakika sijafanya hivyo. Plus mahala nilipofanyia overtake ya mwisho ni mbali asingeweza kuniona kwa pale alipokuwepo. Maana yake asingeweza kujua mstari uliruhusu au la. Kwamba ka assume. Kitiuoni akageuza maelezo kwamba aliniona huko nyuma akanikariri akaniovateki akaja kunisimamishia mbele baadaye.
 
Huwa nakuwa mpole kama nimefanya kosa ila mambo ya kusingiziana huwa nabadilika kabisa.
 
Anasema nimeovateki vibaya na mimi nina uhakika sijafanya hivyo. Plus mahala nilipofanyia overtake ya mwisho ni mbali asingeweza kuniona kwa pale alipokuwepo. Maana yake asingeweza kujua mstari uliruhusu au la. Kwamba ka assume. Kitiuoni akageuza maelezo kwamba aliniona huko nyuma akanikariri akaniovateki akaja kunisimamishia mbele baadaye.
Silaha yao kubwa ni kukupotezea muda. Anajua hutapenda kupoteza muda so you gonna negotiate in his favor!
 
Back
Top Bottom