Over the hedge
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 143
- 162
Mungu nijalie nimshinde huyu shetani
View attachment 1968119
Brother sorry hii ni golf ya mwaka gani ?
Hii model gani brother ?
Ya mwaka gani ?VW Golf
Ma worshiper tunajijua 😊😊😊 na tunajua kiu ya roho zetu mtakatifu mwenzanguWewe Jamaa nakukubali sana hasa kwenye worship songs.
Kuna nyimbo ulinitumia kipindi nimepata msiba,kuna namna zilinisaidia mno.
Nikitaka kusikiliza worship huwa nanyooka kwenye file la nyimbo ulizonitumia.
😎😎😎😎😎 ijumaa leo imeisha hiyo
Ila kuna zile za live live hukatai.... wapo sana kipande cha chalinze. Wanavaa nguo za brown sawa na miti ya pale na wanajificha kwenye vivuli wasionekane. Yani wanakufumania kiutamu sana.
Na kuna zile za kupigwa picha.
1.5m aprox
Linaliwa bata heavy sana hapo
Mmeyaona wapi haya? Au ni Mungu tu ananilinda?For long trips, I too prefer night drive.
Changamoto kuu kwa night long ride ni 'magogo'. Ila ipo solution... pack an AK47!
-Kaveli-
Kuna watu wameizoea pesa mpaka anajua uzito wa noteMkuu uko bank?
Mmeyaona wapi haya? Au ni Mungu tu ananilinda?
Kitambo kirefu magogo hamna since zilivyokuja barriers!For long trips, I too prefer night drive.
Changamoto kuu kwa night long ride ni 'magogo'. Ila ipo solution... pack an AK47!
-Kaveli-
Asee ni kweli ila mie huwa najitahidi niwe hydrated vya kutoshaTatizo ni malori na usalama mdogo hasa ukipata shida. Na kama una uoni hafifu ndio balaa.
Kesho twende Kwa kolenda[emoji4]Ma worshiper tunajijua [emoji4][emoji4][emoji4] na tunajua kiu ya roho zetu mtakatifu mwenzangu
Umesomeka mkuuPossibly swali lako no.2 ndiyo jibu la swali lako no.1.
Mie sijawahi kukutana na kadhia za wajuba wa usiku at night long trip. Lakini jamaa zangu wawili weshakutana na magogo road usiku mkubwa.
Jambo kama halijakutokea, sio jibu kwamba hilo jambo halipo.
-Kaveli-
Imani, Upendo, Miujiza na money laundering [emoji1787][emoji1787]Kesho twende Kwa kolenda[emoji4]View attachment 1968554View attachment 1968555