Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila kuna zile za live live hukatai.... wapo sana kipande cha chalinze. Wanavaa nguo za brown sawa na miti ya pale na wanajificha kwenye vivuli wasionekane. Yani wanakufumania kiutamu sana.

Na kuna zile za kupigwa picha.

Jamaa ni wakuda sana, na ndio maana wengine tumeuchagua muda wa usiku kuwa ndio muda muafaka wa kukimbizana na shilingi mkoani...
 
Mmeyaona wapi haya? Au ni Mungu tu ananilinda?

Possibly swali lako no.2 ndiyo jibu la swali lako no.1.

Mie sijawahi kukutana na kadhia za wajuba wa usiku at night long trip. Lakini jamaa zangu wawili weshakutana na magogo road usiku mkubwa.

Jambo kama halijakutokea, sio jibu kwamba hilo jambo halipo.

-Kaveli-
 
Ma worshiper tunajijua [emoji4][emoji4][emoji4] na tunajua kiu ya roho zetu mtakatifu mwenzangu
Kesho twende Kwa kolenda[emoji4]
IMG_20211008_185817_5.jpg
IMG_20211008_174514_7.jpg
 
Back
Top Bottom