Aahh na wao si wanapenda kuhonga? Acha watoe tu mradi wanapata wanachokitaka au labda kama wanatoa msaada tu!Ulisikia wapii [emoji39][emoji6]
Nani anabisha nimuonyeshe?[emoji38]Koh Koh!!
AsalaleeeeSawa hiyo kwio
Mkuu hiyo veepe
Nini umepanga kuninyima[emoji848][emoji3]
Duuh sasa kwanini upeleke utamu nje Wakati una mke mkuuMlivyo na wivu
Hata mmpewe nini
Bado utataka utamu usitoke nje
Nawaona wanangu waliooa
Nabaki kucheka[emoji3][emoji3]
Mimi mtu akinipa,nachukulia kama sadaka tu au msaada [emoji38]Aahh na wao si wanapenda kuhonga? Acha watoe tu mradi wanapata wanachokitaka au labda kama wanatoa msaada tu!
Ushasema kuhonga!Aahh na wao si wanapenda kuhonga? Acha watoe tu mradi wanapata wanachokitaka au labda kama wanatoa msaada tu!
Teh teh tehMimi ni mama wa watoto wanne.
Amen safi sana MtumishiHilo muhimu mkuu.
Yaani mimi yangu usishee na mtu alafu eti unataka yako nishee na Watu..
Ptuuuu!
Labda nisijue,,,
Hata nisipojua lazima Sir God akunyoshe. .
Mwanaume wangu ajiandae kwa hayo..
Aidha atulie,au asubiri Mungu amtandike.
Hilo nishaweka nadhiri na Mungu .
Hivi Rais si alishakataza huu msemo wa "kwio"Sawa hiyo kwio
Mkuu hiyo veepe
Nini umepanga kuninyima[emoji848][emoji3]
Oh!Asalaleeee
Nanyima kila kitu ambacho huna
Hahaaa unataka kumjambazia NaniNani anabisha nimuonyeshe?[emoji38]
Uzuri wanangu wote ni copy yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe umeandika[emoji3][emoji848]Duuh sasa kwanini upeleke utamu nje Wakati una mke mkuu
MimiNani anabisha nimuonyeshe?[emoji38]
Uzuri wanangu wote ni copy yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia mbaya mkuu 🤣Oh!
Ndio maana trip zangu za Naii
Nikipita hapo chuga napotezea
Kumbee!
Raia ndio waajiri wakeHivi Rais si alishakataza huu msemo wa "kwio"
Hehe hakunaga vya bure mama! Na wenyewe wanakuambia hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke kwahiyo akikupa na hela ndiyo kabisa ujiongeze!Mimi mtu akinipa,nachukulia kama sadaka tu au msaada [emoji38]
Hivi huwa wana tafsiri NYINGINE eeh.?
Itoshe kusema tarehe 22 DecTabia mbaya mkuu [emoji1787]
Wapo wanaume wengine huwa wana mioyo ya kusaidia tu mkuu na wala hawahitaji chochote in return! Ila hawa nahisi ni malaika walioshushwa moja kwa moja kutoka mbinguni!Ushasema kuhonga!
Hapo hapana ubishi, tayari ushatolea maelezo
Hapo kwenye msaada sasa ndio utata
Itategemea
Wanaume sisi[emoji848]Wapo wanaume wengine huwa wana mioyo ya kusaidia tu mkuu na wala hawahitaji chochote in return! Ila hawa nahisi ni malaika walioshushwa moja kwa moja kutoka mbinguni!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa unataka kumjambazia Nani